EL kujisafisha Diamond katika sendoff ya mwanae

Tina

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2007
Posts
572
Reaction score
581
Kuna taarifa kwamba baada ya kitchen party la nguvu mtoto wa E. Lowassa anafanyiwa sendoff la nguvu kesho pale Diamond Jubilee ambako JK amethibitisha kuongoza mamia ya wageni maarufu.

Katika shughuli hiyo kumepangwa kuwapo maandalizi maalumu kimkakati mfano JK kukaa na Lowassa na Rostam Aziz atakaa na mzee Ali Hassan Mwinyi na kadhalika.

Mtoto wa EL anaolewa na mtoto wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Wanyamapori aliyeondolewa, Emmanuel Severe.

Mambo yatayofanyika hapo yatasaidia kumuandaa EL katika safari yake ya kujisafisha.

Kwa kuwa nimeingia Dar tokea jana kwa ajili ya shughuli za harusi hii, nitawaletea taarifa ya yatakayojiri kama hawatanishitukia.
 
Huyu atajisafisha mara ngapi? Na atahitaji venues ngapi kujisafisha?
 
Kuna taarifa kwamba baada ya kitchen party la nguvu mtoto wa E. Lowassa anafanyiwa sendoff la nguvu kesho pale Diamond Jubilee ambako JK amethibitisha kuongoza mamia ya wageni maarufu.

Katika shughuli hiyo kumepangwa kuwapo maandalizi maalumu kimkakati mfano JK kukaa na Lowassa na Rostam Aziz atakaa na mzee Ali Hassan Mwinyi na kadhalika.

Mtoto wa EL anaolewa na mtoto wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Wanyamapori aliyeondolewa, Emmanuel Severe.

Mambo yatayofanyika hapo yatasaidia kumuandaa EL katika safari yake ya kujisafisha.

Kwa kuwa nimeingia Dar tokea jana kwa ajili ya shughuli za harusi hii, nitawaletea taarifa ya yatakayojiri kama hawatanishitukia.

Tina nadhani ulitaka tu wadau wajue kwamba binti wa lowasssa anaolewa na kijana wa severe, mii sioni kama kuna kingine zaidi ya hicho. Kwani siku hizi kwenye send off kuna jukwaa la siasa, au unataka kusema badala ya kutoa nasaha kwa binti yake atutumia muda huo kujitakasa dhidi ya ufisadi? kaazi kweli kweli.
 
Kumbe ndio maana alikuwa anambeba myemba mwenzake.....anabembelezeaa mtoto wake asije akachina hahaahaha
 
ajisafishe kwani kajichafua wapi?hiyo kazi kapewa Pinda kumsafisha yeye hata hahusiki?huyu Severe si ndo alikuwa mjeuri sana pale maliasili??mhhh kweli TZ kuna mambo
 
anajeolewa ni yule mtoto wa EL wa BOT?YULE aliyetoka USA na diploma afu akapata nafasi ya kufanya MBA pale Mzumbe University?yule siku za test alikuwa anaandika majibu kwenye mapaja?
au kuna mwingine?
 
Say what????? Ha hahaaa Mtoto alikuwa ananyonyweshwa kwenye mapaja? Crispian wakumbuka enzi za phantom??

Kuna jamaa aliandika majibu kwenye feni juu na akawa anainua kichwa na kuandika majibu. Joto lilipozidi mwalimu kawasha feni. Jamaa akawa anajitahidi bado aendelee kusoma ..........
 
Back
Top Bottom