Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hata Wakipeleka Old Trafford kama wana timu mbovu hakuna kitakachosaidia.El Merreikh wameondoa kituo cha kazi pale Rwanda baada ya kufuzu hatua ya awali na sasa wamechagua kiwanja cha Morroco kama kituo cha kazi kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga.
El Merreikh wanaona kule Morroco ndio wanaweza kupata mabao 4 hadi 5 ili wakija hapa Taifa kazi ya kutafuta suluhu iwe nyepesi.
Kazi kwenu mliocheza na wenye njaa jana halafu mnajisifia kuwa mnajua mpira.
MzurulajiNani anaanzia ugenini kwenye hii game
El Mereikh ni timu ya mtaani, haina kwao, bora wale wa Djibout wana kwao, hivi wametokewa watarudi kwao, lakini El Mereikh wakishatolea bado hawakua na pa kwenda.El Merreikh wameondoa kituo cha kazi pale Rwanda baada ya kufuzu hatua ya awali na sasa wamechagua kiwanja cha Morroco kama kituo cha kazi kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga.
El Merreikh wanaona kule Morroco ndio wanaweza kupata mabao 4 hadi 5 ili wakija hapa Taifa kazi ya kutafuta suluhu iwe nyepesi.
Kazi kwenu mliocheza na wenye njaa jana halafu mnajisifia kuwa mnajua mpira.
Ninakuomba siku ya hii mechi ya huko Morrocco wewe ndio ufungue uzi wa updates sisi tuwe wachangiaji. Yan wewe uwe unatupa updates tu basi, Then kama utafika mpaka dakika ya 15 mimi naachana na JF na hata ushabiki naachana nao.El Merreikh wameondoa kituo cha kazi pale Rwanda baada ya kufuzu hatua ya awali na sasa wamechagua kiwanja cha Morroco kama kituo cha kazi kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga.
El Merreikh wanaona kule Morroco ndio wanaweza kupata mabao 4 hadi 5 ili wakija hapa Taifa kazi ya kutafuta suluhu iwe nyepesi.
Kazi kwenu mliocheza na wenye njaa jana halafu mnajisifia kuwa mnajua mpira.
Ninakuomba siku ya hii mechi ya huko Morrocco wewe ndio ufungue uzi wa updates sisi tuwe wachangiaji. Yan wewe uwe unatupa updates tu basi, Then kama utafika mpaka dakika ya 15 mimi naachana na JF na hata ushabiki naachana nao.
Yanga hii sio ile. Jana ile ilikua mechi ya kupasha misuli na kuweka fitness usidhani umeiona Yanga yenyewe nakuhakikishia bado hujaiona Yanga kama bado una hii mentality
Simba walipata short on target dakika ya 76Simba mliwafunga ngapi na yanga hii unayosema ni superb?
hata wapeleke game mwezini wasudani makundi hawaendiEl Merreikh wameondoa kituo cha kazi pale Rwanda baada ya kufuzu hatua ya awali na sasa wamechagua kiwanja cha Morroco kama kituo cha kazi kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga.
El Merreikh wanaona kule Morroco ndio wanaweza kupata mabao 4 hadi 5 ili wakija hapa Taifa kazi ya kutafuta suluhu iwe nyepesi.
Kazi kwenu mliocheza na wenye njaa jana halafu mnajisifia kuwa mnajua mpira.
Ban tumepigwa San mkuu mpaka tumezoeaSiku hizi JF watu wanaflow kwa raha zao hakuna cha ban wala nini.
Popote sisi tunawapiga hao mbwaEl Merreikh wameondoa kituo cha kazi pale Rwanda baada ya kufuzu hatua ya awali na sasa wamechagua kiwanja cha Morroco kama kituo cha kazi kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga.
El Merreikh wanaona kule Morroco ndio wanaweza kupata mabao 4 hadi 5 ili wakija hapa Taifa kazi ya kutafuta suluhu iwe nyepesi.
Kazi kwenu mliocheza na wenye njaa jana halafu mnajisifia kuwa mnajua mpira.
Nyie mliopta short on target dakika ya kwanza iliwafikisha wapi?Simba walipata short on target dakika ya 76
Kwanza tukubaliane marrekh ni wabovu au laa??El Merreikh wameondoa kituo cha kazi pale Rwanda baada ya kufuzu hatua ya awali na sasa wamechagua kiwanja cha Morroco kama kituo cha kazi kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga.
El Merreikh wanaona kule Morroco ndio wanaweza kupata mabao 4 hadi 5 ili wakija hapa Taifa kazi ya kutafuta suluhu iwe nyepesi.
Kazi kwenu mliocheza na wenye njaa jana halafu mnajisifia kuwa mnajua mpira.
Timu zikamaliza kila moja ikiwa na shot on target moja!Simba walipata short on target dakika ya 76
Nani anaanzia ugenini kwenye hii game