El Mereikh yaipeleka Yanga uwanja wa Mohamed Wa Tano ili kumaliza kazi mapema

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
El Merreikh wameondoa kituo cha kazi pale Rwanda baada ya kufuzu hatua ya awali na sasa wamechagua kiwanja cha Morroco kama kituo cha kazi kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga.

El Merreikh wanaona kule Morroco ndio wanaweza kupata mabao 4 hadi 5 ili wakija hapa Taifa kazi ya kutafuta suluhu iwe nyepesi.

Kazi kwenu mliocheza na wenye njaa jana halafu mnajisifia kuwa mnajua mpira.
 
Hata Wakipeleka Old Trafford kama wana timu mbovu hakuna kitakachosaidia.
 
El Merreikh wameondoa kituo cha kazi pale Rwanda baada ya kufuzu hatua ya awali na sasa wamechagua kiwanja cha Morroco kama kituo cha kazi kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga.

El Merreikh wanaona kule Morroco ndio wanaweza kupata mabao 4 hadi 5 ili wakija hapa Taifa kazi ya kutafuta suluhu iwe nyepesi.

Kazi kwenu mliocheza na wenye njaa jana halafu mnajisifia kuwa mnajua mpira.
El Mereikh ni timu ya mtaani, haina kwao, bora wale wa Djibout wana kwao, hivi wametokewa watarudi kwao, lakini El Mereikh wakishatolea bado hawakua na pa kwenda.
 
El Merreikh wameondoa kituo cha kazi pale Rwanda baada ya kufuzu hatua ya awali na sasa wamechagua kiwanja cha Morroco kama kituo cha kazi kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga.

El Merreikh wanaona kule Morroco ndio wanaweza kupata mabao 4 hadi 5 ili wakija hapa Taifa kazi ya kutafuta suluhu iwe nyepesi.

Kazi kwenu mliocheza na wenye njaa jana halafu mnajisifia kuwa mnajua mpira.
Ninakuomba siku ya hii mechi ya huko Morrocco wewe ndio ufungue uzi wa updates sisi tuwe wachangiaji. Yan wewe uwe unatupa updates tu basi, Then kama utafika mpaka dakika ya 15 mimi naachana na JF na hata ushabiki naachana nao.

Yanga hii sio ile. Jana ile ilikua mechi ya kupasha misuli na kuweka fitness usidhani umeiona Yanga yenyewe nakuhakikishia bado hujaiona Yanga kama bado una hii mentality
 
Simba mliwafunga ngapi na yanga hii unayosema ni superb?
 
El Merreikh wameondoa kituo cha kazi pale Rwanda baada ya kufuzu hatua ya awali na sasa wamechagua kiwanja cha Morroco kama kituo cha kazi kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga.

El Merreikh wanaona kule Morroco ndio wanaweza kupata mabao 4 hadi 5 ili wakija hapa Taifa kazi ya kutafuta suluhu iwe nyepesi.

Kazi kwenu mliocheza na wenye njaa jana halafu mnajisifia kuwa mnajua mpira.
hata wapeleke game mwezini wasudani makundi hawaendi
 
El Merreikh wameondoa kituo cha kazi pale Rwanda baada ya kufuzu hatua ya awali na sasa wamechagua kiwanja cha Morroco kama kituo cha kazi kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga.

El Merreikh wanaona kule Morroco ndio wanaweza kupata mabao 4 hadi 5 ili wakija hapa Taifa kazi ya kutafuta suluhu iwe nyepesi.

Kazi kwenu mliocheza na wenye njaa jana halafu mnajisifia kuwa mnajua mpira.
Popote sisi tunawapiga hao mbwa
 
Kwanza tukubaliane marrekh ni wabovu au laa??
Ili badae usije sema hata wao wananjaa na vita.
 
Back
Top Bottom