El Merreikh Vs Azam FC 28/02/2015

El Merreikh Vs Azam FC 28/02/2015

Mpira umesimama kwanza kuna mchezaji wa EM anamzonga refa. Mambo ya kupoteza muda tu, washatuharibia pozi kwa Azam yetu.
 
I bet Azam out.
El mereikh watapata goli la pili. Itabidi kuwe na mikwaju ya penati. Na hapo ndipo chama langu Azam watakapochemsha. It is just betting.

I wish Azam could win; or at least continue in the next round.

Vipi mkuu ulikuwa na funguo za magoli ya El-Mereikh nini?
 
mmmh kama ndo hivi watz tubaki BIG brother tu, mpira hatuwezi zaidi ya uzinzi
 
mbona Live score inaonesha 1-0 hilo la pili nyie mnalitoa wapi?
 
hawa azam hawakujifunza kwa wenzao Yanga? Goli moja lingewasaidia
 
Back
Top Bottom