El Merreikh Vs Azam FC 28/02/2015

El Merreikh Vs Azam FC 28/02/2015

Kwani wale Al Ahly Shandy hawakuwa waarabu!!!?
Na wale Al hadoudy ya Misri haikuwa timu ya waarabu!!?, Acha kujisia Mambo ya kijinga ninyi mikia, kabla ya kuitoa Zamalek na baada ya kuitoa hiyo zamalek mliitoa timu gan tena ya waarabu!!!?
Entente Sportive de Setif ya Algeria.
 
Pole I Azam Fc kwa kufungwa Jana. Msikate tamaa next time mtafanya vizuri. ila mjifunze kupitia makosa yenu!
 
ndo tujifunze...sisi ukarimu unatuponza kweli....
wakija kwetu mpaka viatu tunawavua..sasa ona kilichotokea...

waarabu kwa fitina kwenye mpira wanaongoza na CAF hawalioni hilo sasa kwa nn hatujifunzi kitu??? siku waje tuwaache wakae kwenye foleni ya bongo mpaka wakome
 
Nawe Mkuu Rweye unachekesha, unauliza matokeo wakati yako hapa hapa jukwaani. Lo, ni kweli kwamba 'si kila atazamaye anaona'

Hahahaha kweli asee mtu anakurupuka kukoment bila hata kusoma mwanzo Uzi unasemaaje...?
 
Last edited by a moderator:
Ujinga wetu na ukarimu ndio.vitatuua kila mwaka pumbafu kabisaa kila mwaka tutaiishia kusema turekebisha makosa hadi mwakani!!
Ni ujinga huoo watu wanakuja mnawapokea na escot mnawapa wanafikia hotel nzuuuuri posta kwa nn wasitufunge????
Wanafika apa achaa walee foleni la Airpot mpka wafike Tazara wakae masaa ma3 acheni kuwapa mahotel mazuri shenzi nyie....siku moja kabla ya mechi mnabadili maamuzi mnawaambia mechi imeahirishwa kuchezewa Taifa serikali imegoma!! mnawapeleka huko Turiani Manungu huko,,au huko Songea huko majimaji au mnawapeleka ma kigoma uko wakati huo timu yenu mnakua mshaipeleka kwa ndege,,wanafika kule wametepetaaa kishenzi mnapiga nbao mingi kuanzia 5 kwenda mbele!!!!hata marudiano mkipigwa 3 mnasonga mbele fitna soka.la Afrika ndo mpango lkn mkijitia Wakarimu mtaendeleaa hivihivi mtasindikiza mpaka mwisho amkeni pumbafu nyieee!!!!Azam,,Yanga n simba amkenii Kenge nyiee ukarimu wenu ndio...unawakost kila mwaka!!!!
 
True nashauri mechi ijayo ya yanga ichezwe shinyanga
 
Pole sana Mkuu. Nimeona hiyo avatar, sikuangalia jina, nilikuwa nadhani kwamba ni wewe mkuu yahoo, maana avatar hiyo inafahamika kuwa ni yako. Mkuu Blood Hurricane onesha uungwana wako kwa kubadilisha hiyo avatar mara moja.

Nakuheshimu wewe sio Yahoo. Mimi sikujua kama kuna mtu anatumia ukizingatia ninatumia zaidi ya miaka miwili na nusu......
 
Back
Top Bottom