Plesis
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 945
- 856
Mliwafunga Al ahly shandy 3-0 huku tz nn kilitokea baada ya kwenda sudan emb kumbuka kidogoSimba ndo kiboko ya waarabu, waulize Zamalek, wanajua hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mliwafunga Al ahly shandy 3-0 huku tz nn kilitokea baada ya kwenda sudan emb kumbuka kidogoSimba ndo kiboko ya waarabu, waulize Zamalek, wanajua hili.
Entente Sportive de Setif ya Algeria.Kwani wale Al Ahly Shandy hawakuwa waarabu!!!?
Na wale Al hadoudy ya Misri haikuwa timu ya waarabu!!?, Acha kujisia Mambo ya kijinga ninyi mikia, kabla ya kuitoa Zamalek na baada ya kuitoa hiyo zamalek mliitoa timu gan tena ya waarabu!!!?
Ilikuwaje jamani wenye matokeo
Nawe Mkuu Rweye unachekesha, unauliza matokeo wakati yako hapa hapa jukwaani. Lo, ni kweli kwamba 'si kila atazamaye anaona'
Ujinga wetu na ukarimu ndio.vitatuua kila mwaka pumbafu kabisaa kila mwaka tutaiishia kusema turekebisha makosa hadi mwakani!!
Ni ujinga huoo watu wanakuja mnawapokea na escot mnawapa wanafikia hotel nzuuuuri posta kwa nn wasitufunge????
Wanafika apa achaa walee foleni la Airpot mpka wafike Tazara wakae masaa ma3 acheni kuwapa mahotel mazuri shenzi nyie....siku moja kabla ya mechi mnabadili maamuzi mnawaambia mechi imeahirishwa kuchezewa Taifa serikali imegoma!! mnawapeleka huko Turiani Manungu huko,,au huko Songea huko majimaji au mnawapeleka ma kigoma uko wakati huo timu yenu mnakua mshaipeleka kwa ndege,,wanafika kule wametepetaaa kishenzi mnapiga nbao mingi kuanzia 5 kwenda mbele!!!!hata marudiano mkipigwa 3 mnasonga mbele fitna soka.la Afrika ndo mpango lkn mkijitia Wakarimu mtaendeleaa hivihivi mtasindikiza mpaka mwisho amkeni pumbafu nyieee!!!!Azam,,Yanga n simba amkenii Kenge nyiee ukarimu wenu ndio...unawakost kila mwaka!!!!
Naomba uondoe hiyo avatar kabla sijatangaza mgogoro na ww pls
Asee huyu jamaa anatafuta ugomvi na mimi...
Wewe naomba ubadilishe hiyo avatar,nina hati miliki ya hiyo kitu ,naitumia mwaka wa nne sasa...nakupa saa 24 nisikuone nayo
Pole sana Mkuu. Nimeona hiyo avatar, sikuangalia jina, nilikuwa nadhani kwamba ni wewe mkuu yahoo, maana avatar hiyo inafahamika kuwa ni yako. Mkuu Blood Hurricane onesha uungwana wako kwa kubadilisha hiyo avatar mara moja.
Nakuheshimu wewe sio Yahoo. Mimi sikujua kama kuna mtu anatumia ukizingatia ninatumia zaidi ya miaka miwili na nusu......