El Nino ipo chukua HATUA mapema

mamba wenyewe wakitoka nje ya mito wamekwisha, watafanywa kitoweo sawa na samki tu
Watu wa daa si dhani kama wanaweza Kula mamba labda wa kinganga, wahehe ivi
 
ndio, naihitaji ina faida kiuchumi, kuuza samaki kwa wingi, samaki wanaotokana na mafuriko ya mito na mabwawa, samaki hutoka huko na kuja kwenye kina kifupi cha maji, kuwavua inakuwa rahisi mno hata kwa mikono unawashika
Una Maanisha kambale?
 
maji yamefurika mbugani huko nani anatapisha vyoo huko na hakuna nyumba? We unawaza mafuriko ya mjini yenye hasara tupu sie tunawaza mafuriko huko mbugani na maporini kusikokuwa na nyumba za watu
ukileta habari za wanyama huwa wana sense danger na huhama haraka eneo hilo kabla hawajazingirwa na maji
 
ukileta habari za wanyama huwa wana sense danger na huhama haraka eneo hilo kabla hawajazingirwa na maji
Nimeona sisimizi nyumbani kwangu wakipanda ukuta ,wanataka ingia ndani
 
El nino sio kama mkojo mkuu Kila saa imo tuulize kaka zako wa tisini jinsi tulivyohenya.
Waulize wakazi wa temeke Leo 😂 watakuadisia , mvua ina nyesha kila SAA,alafu bado kuna joto, kijasho kinakutoka Yan
 
Kuna mwaka mafuriko yalitokea na kusababisha samaki wa ziwani na mitoni kutoka huko na kuja kwenye kina kifupi cha maji. Wananchi wakaona ni bahati yao wakaanza kuokota samaki kwa mikono. Wavuvi wakawaona wakajisikia vibaya samaki zao walizozivua kukosa soko wakakaleta unaa na kuita maliasili upande wa samaki waje wawapige mkwara mzito wananchi waache kujipatia samaki kiulaini kwani hawana kibali cha kuvua samaki
 
Nipo maeneo ya Tazara toka saa 1 asubuhi, zaidi ya manyunyu hakuna cha maana nilichokiona kwa upande wa mvua.

Nahisi itakuwa si kila sehemu ya Dar kwa leo.
 
ndio, kambale, ningu na ngorongoro huwa na kiherere cha kutoka mtoni kuja kwenye kina kifupi kujitafutia chakula chao
Basi El Nino ipige Tu 😂 tupate vitoweo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…