El Nino ipo chukua HATUA mapema

El Nino ipo chukua HATUA mapema

ndio, naihitaji ina faida kiuchumi, kuuza samaki kwa wingi, samaki wanaotokana na mafuriko ya mito na mabwawa, samaki hutoka huko na kuja kwenye kina kifupi cha maji, kuwavua inakuwa rahisi mno hata kwa mikono unawashika
Una Maanisha kambale?
 
maji yamefurika mbugani huko nani anatapisha vyoo huko na hakuna nyumba? We unawaza mafuriko ya mjini yenye hasara tupu sie tunawaza mafuriko huko mbugani na maporini kusikokuwa na nyumba za watu
ukileta habari za wanyama huwa wana sense danger na huhama haraka eneo hilo kabla hawajazingirwa na maji
 
ukileta habari za wanyama huwa wana sense danger na huhama haraka eneo hilo kabla hawajazingirwa na maji
Nimeona sisimizi nyumbani kwangu wakipanda ukuta ,wanataka ingia ndani
 
Kuna mwaka mafuriko yalitokea na kusababisha samaki wa ziwani na mitoni kutoka huko na kuja kwenye kina kifupi cha maji. Wananchi wakaona ni bahati yao wakaanza kuokota samaki kwa mikono. Wavuvi wakawaona wakajisikia vibaya samaki zao walizozivua kukosa soko wakakaleta unaa na kuita maliasili upande wa samaki waje wawapige mkwara mzito wananchi waache kujipatia samaki kiulaini kwani hawana kibali cha kuvua samaki
 
Nipo maeneo ya Tazara toka saa 1 asubuhi, zaidi ya manyunyu hakuna cha maana nilichokiona kwa upande wa mvua.

Nahisi itakuwa si kila sehemu ya Dar kwa leo.
 
Back
Top Bottom