El Niño yabadili ratiba ya mitihani ya taifa

Mkoa wa Kilimanjaro una shule ziko mazingira magumu kufikika nyakati za masika kunaponyesha mvua. Shule ziko kwenye delta za mito inayomwaga maji bwawa la Nyumba ya Mungu. Zingine zipo milimani huko uchagani na upareni, milima inateleza na udongo kuporomoka. Kufanya mitihani ya taifa nyakati za mvua ni shughuli pevu, inabidi wanafunzi waende kufanya mitihani nje na shule zao kuliko na barabara zisizoathiriwa na maji. Majira ya kiangazi ndioa muafaka hakuna mvua mitihani hufika shuleni bila shida
 
Kutokana na tahadhari ya mvua za El Nino Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limefanya marekebisho ratiba ya mitihani ya kitaifa na upimaji iliyotakiwa kufanyika Oktoba na Novemba mwaka huu.

Akizungumza leo Ijumaa Septemba 25, 2026 Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir amesema uamuzi huo umefanyika ili kuhakikisha usalama wa mitihani hiyo, wanafunzi na wasimamizi.

Amesema pamoja na taarifa zilizopokewa kutoka katika mikoa kuhusu maandalizi ya kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua hizo, wizara imeona kuna umuhimu wa kufanya marekebisho ya ratiba ya uendeshaji wa Upimaji na Mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026.

“Lengo la marekebisho ya ratiba ni kuhakıkisha usalama wa wanafunzi, walimu, wasimamizi na maofisa wengine wanaohusika na uendeshaji wa mitihani, pamoja na kulinda mitihani, vifaa na nyaraka za mitihani. Iwapo mvua kubwa zitatokea mwezi Novemba 2026,” amesema.

Kwa mujibu Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6 badala ya Oktoba 21 na 22, huku Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili uliopaswa kufanyika Novemba 17 na 18 sasa utafanyika Oktoba 7 na 8.

Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili uliopaswa kufanyika Novemba 2 hadi 13 sasa utafanyika kuanzia Oktoba 12 hadi 23 wakati Mtihani wa Kidato cha Nne ilioapaswa kuanza Novemba 9 hadi 27 sasa utaanza Oktoba 19 na kumalizika Novemba 6, 2026.

View attachment 3677507

Ratiba Mpya ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2026

View attachment 3677509

Ratiba Mpya ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili 2026

View attachment 3677510

Ratiba Mpya ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne 2026
View attachment 3677511
​
Vyovyote watakavyotaka sisi tupo tayari.
 
Yaani Wanu Samia siku hz ndiye napewa kipaumbele kila serikali inapotaka kuongea na media.
 
Eti huyo aliyevaa ushungi ndiye naibu waziri wa elimu ambaye naye elimu yake ya hapa na pale 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hizi El Nino zinavyohubiriwa kihatari hatari sana
Waeza jikuta umeuza kila kitu chako na kusubiria Hatma yako
 
Back
Top Bottom