El Nino haina balaa wala hatari kubwa kama mama yako muuuajiiiiKutokana na tahadhari ya mvua za El Nino Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limefanya marekebisho ratiba ya mitihani ya kitaifa na upimaji iliyotakiwa kufanyika Oktoba na Novemba mwaka huu.
Akizungumza leo Ijumaa Septemba 25, 2026 Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir amesema uamuzi huo umefanyika ili kuhakikisha usalama wa mitihani hiyo, wanafunzi na wasimamizi.
Amesema pamoja na taarifa zilizopokewa kutoka katika mikoa kuhusu maandalizi ya kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua hizo, wizara imeona kuna umuhimu wa kufanya marekebisho ya ratiba ya uendeshaji wa Upimaji na Mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026.
“Lengo la marekebisho ya ratiba ni kuhakıkisha usalama wa wanafunzi, walimu, wasimamizi na maofisa wengine wanaohusika na uendeshaji wa mitihani, pamoja na kulinda mitihani, vifaa na nyaraka za mitihani. Iwapo mvua kubwa zitatokea mwezi Novemba 2026,” amesema.
Kwa mujibu Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6 badala ya Oktoba 21 na 22, huku Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili uliopaswa kufanyika Novemba 17 na 18 sasa utafanyika Oktoba 7 na 8.
Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili uliopaswa kufanyika Novemba 2 hadi 13 sasa utafanyika kuanzia Oktoba 12 hadi 23 wakati Mtihani wa Kidato cha Nne ilioapaswa kuanza Novemba 9 hadi 27 sasa utaanza Oktoba 19 na kumalizika Novemba 6, 2026.
View attachment 3677507
Ratiba Mpya ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2026
View attachment 3677509
Ratiba Mpya ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili 2026
View attachment 3677510
Ratiba Mpya ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne 2026
View attachment 3677511
Walimu wengi wakati watoto wanapelekwa baadhi ya shule zina waalimu wanne na watoto zaidi ya 500, shule zingine waalimu wa sayansi hakuna kabisa....na hawaajiriwi sheikh, wanachukua Form 6 leaversMwalimu ni mtu mzima kwanza wameshakuwa wengi hata wakifa tuna replace haraka
Sijui ni kwamba nyie ni mapumbavu sana au ni nini, walimu ni wengi mnoo kiasi imepelekea hadi chuo kikuu cha dodoma kupunguza idadi ya kozi za ualimu na hata kupunguza idadi ya udahili wa wanafunzi wa elimu.Walimu wengi wakati watoto wanapelekwa baadhi ya shule zina waalimu wanne na watoto zaidi ya 500, shule zingine waalimu wa sayansi hakuna kabisa....na hawaajiriwi sheikh, wanachukua Form 6 leavers
Utawala wa mwiny I ilipiga si kitoto hadi watu wakafa na wengine kunusuru uhai kwa kupanda kwenye mapaa ya nyumba kabla kuokolewa na helicopterWakuu, kwa El Nino ni serious ishu, msiichukulie kimzaha mzaha hasa kwa Dar na mikoani sehemu ambapo mvua inaathiri shughuli za kawaida za kila siku.
1997/8 wanajua hiki ninachozungumza, huo mwaka ilipiga mvua moja kali saana kuwahi kushuhudiwa. Na hadi sasa dalili za El Nino ni zinazidi kuongezeka kila siku.
Usiite watu Wapumbavu kwasababu unaweza kuwa Mpumbavu kuwazidi hao, hujaweka wazi ni Waalimu wa masomo yapi hasa, hebu bainisha uelewekeSijui ni kwamba nyie ni mapumbavu sana au ni nini, walimu ni wengi mnoo kiasi imepelekea hadi chuo kikuu cha dodoma kupunguza idadi ya kozi za ualimu na hata kupunguza idadi ya udahili wa wanafunzi wa elimu.
Katika familia yetu tuna walimu 6 na wanaofanya hiyo kazi ni wawili tu tena ni kwa sababu wako mijini tena mjini Mbinga na mjini Sengerema 😐
Kwa mfano zisiwepo hizo Elnyonyi!??
Zamani nitofauti na sasahvi😃******* kweli. 🤭
Mimi nakumbuka sijui ni lini ila 90s nilikuwa la tatu tulikuwa tunacheza kwenye mvua Ubungo kisiwani.! S/M
Mbuyu ulipigwa na Radi ukadondoka ila vidume tulikuwa tunaogelea kwenye mvua bila wasi..! Yani Elninyo kitu gani enzi zangu 😎
Tofauti yake nini.!?Zamani nitofauti na sasahvi😃
TUmeuzwa..😔😔😔******* kweli. 🤭
Mimi nakumbuka sijui ni lini ila 90s nilikuwa la tatu tulikuwa tunacheza kwenye mvua Ubungo kisiwani.! S/M
Mbuyu ulipigwa na Radi ukadondoka ila vidume tulikuwa tunaogelea kwenye mvua bila wasi..! Yani Elninyo kitu gani enzi zangu 😎
Kuna PRE-FORM ONE Zimezagaa nchi nzima, anazungumziaje kuhusu hizi? Maana wengi wanapanga mpaka December, serikali haijaliona hilo?Kutokana na tahadhari ya mvua za El Nino Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limefanya marekebisho ratiba ya mitihani ya kitaifa na upimaji iliyotakiwa kufanyika Oktoba na Novemba mwaka huu.
Akizungumza leo Ijumaa Septemba 25, 2026 Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir amesema uamuzi huo umefanyika ili kuhakikisha usalama wa mitihani hiyo, wanafunzi na wasimamizi.
Amesema pamoja na taarifa zilizopokewa kutoka katika mikoa kuhusu maandalizi ya kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua hizo, wizara imeona kuna umuhimu wa kufanya marekebisho ya ratiba ya uendeshaji wa Upimaji na Mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026.
“Lengo la marekebisho ya ratiba ni kuhakıkisha usalama wa wanafunzi, walimu, wasimamizi na maofisa wengine wanaohusika na uendeshaji wa mitihani, pamoja na kulinda mitihani, vifaa na nyaraka za mitihani. Iwapo mvua kubwa zitatokea mwezi Novemba 2026,” amesema.
Kwa mujibu Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6 badala ya Oktoba 21 na 22, huku Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili uliopaswa kufanyika Novemba 17 na 18 sasa utafanyika Oktoba 7 na 8.
Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili uliopaswa kufanyika Novemba 2 hadi 13 sasa utafanyika kuanzia Oktoba 12 hadi 23 wakati Mtihani wa Kidato cha Nne ilioapaswa kuanza Novemba 9 hadi 27 sasa utaanza Oktoba 19 na kumalizika Novemba 6, 2026.
View attachment 3677507
Ratiba Mpya ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2026
View attachment 3677509
Ratiba Mpya ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili 2026
View attachment 3677510
Ratiba Mpya ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne 2026
View attachment 3677511
El nino HAIJI!Kutokana na tahadhari ya mvua za El Nino Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limefanya marekebisho ratiba ya mitihani ya kitaifa na upimaji iliyotakiwa kufanyika Oktoba na Novemba mwaka huu.