Tuseme watazikimbiza hizo bahasha kama unavyosema na watoto je? Au unasahau huko shuleni kuna walimu na wanafunziHakuna el ninyo wala el nyonyo, hata ikitokea walimu watakimbiza bahasha za mitihani vyema kama wafanyavyo wakati upigaji kura.
Vyovyote watakavyotaka sisi tupo tayari.Kutokana na tahadhari ya mvua za El Nino Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limefanya marekebisho ratiba ya mitihani ya kitaifa na upimaji iliyotakiwa kufanyika Oktoba na Novemba mwaka huu.
Akizungumza leo Ijumaa Septemba 25, 2026 Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir amesema uamuzi huo umefanyika ili kuhakikisha usalama wa mitihani hiyo, wanafunzi na wasimamizi.
Amesema pamoja na taarifa zilizopokewa kutoka katika mikoa kuhusu maandalizi ya kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua hizo, wizara imeona kuna umuhimu wa kufanya marekebisho ya ratiba ya uendeshaji wa Upimaji na Mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026.
“Lengo la marekebisho ya ratiba ni kuhakıkisha usalama wa wanafunzi, walimu, wasimamizi na maofisa wengine wanaohusika na uendeshaji wa mitihani, pamoja na kulinda mitihani, vifaa na nyaraka za mitihani. Iwapo mvua kubwa zitatokea mwezi Novemba 2026,” amesema.
Kwa mujibu Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6 badala ya Oktoba 21 na 22, huku Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili uliopaswa kufanyika Novemba 17 na 18 sasa utafanyika Oktoba 7 na 8.
Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili uliopaswa kufanyika Novemba 2 hadi 13 sasa utafanyika kuanzia Oktoba 12 hadi 23 wakati Mtihani wa Kidato cha Nne ilioapaswa kuanza Novemba 9 hadi 27 sasa utaanza Oktoba 19 na kumalizika Novemba 6, 2026.
View attachment 3677507
Ratiba Mpya ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2026
View attachment 3677509
Ratiba Mpya ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili 2026
View attachment 3677510
Ratiba Mpya ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne 2026
View attachment 3677511
kumbe mkuu nawew umejiuliza kama mimi apa..Hii el ninyo mbona inapewa promo sana?
Yaani Wanu Samia siku hz ndiye napewa kipaumbele kila serikali inapotaka kuongea na media.Kutokana na tahadhari ya mvua za El Nino Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limefanya marekebisho ratiba ya mitihani ya kitaifa na upimaji iliyotakiwa kufanyika Oktoba na Novemba mwaka huu.
Akizungumza leo Ijumaa Septemba 25, 2026 Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir amesema uamuzi huo umefanyika ili kuhakikisha usalama wa mitihani hiyo, wanafunzi na wasimamizi.
Amesema pamoja na taarifa zilizopokewa kutoka katika mikoa kuhusu maandalizi ya kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua hizo, wizara imeona kuna umuhimu wa kufanya marekebisho ya ratiba ya uendeshaji wa Upimaji na Mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026.
“Lengo la marekebisho ya ratiba ni kuhakıkisha usalama wa wanafunzi, walimu, wasimamizi na maofisa wengine wanaohusika na uendeshaji wa mitihani, pamoja na kulinda mitihani, vifaa na nyaraka za mitihani. Iwapo mvua kubwa zitatokea mwezi Novemba 2026,” amesema.
Kwa mujibu Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6 badala ya Oktoba 21 na 22, huku Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili uliopaswa kufanyika Novemba 17 na 18 sasa utafanyika Oktoba 7 na 8.
Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili uliopaswa kufanyika Novemba 2 hadi 13 sasa utafanyika kuanzia Oktoba 12 hadi 23 wakati Mtihani wa Kidato cha Nne ilioapaswa kuanza Novemba 9 hadi 27 sasa utaanza Oktoba 19 na kumalizika Novemba 6, 2026.
View attachment 3677507
Ratiba Mpya ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2026
View attachment 3677509
Ratiba Mpya ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili 2026
View attachment 3677510
Ratiba Mpya ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne 2026
View attachment 3677511
Uhai wa mwalimu si bora kuliko uhai wa kizazi mnachotuandalia ndio maana mkizingua tunawatwanga adhabu kali kwelikweliDaah hili jambo linatafakarisha sana. Hivi mbona mnachukulia poa sana uhai wa mtu? Anyway itajulikana
Eti huyo aliyevaa ushungi ndiye naibu waziri wa elimu ambaye naye elimu yake ya hapa na pale 🤣🤣🤣🤣🤣Kutokana na tahadhari ya mvua za El Nino Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limefanya marekebisho ratiba ya mitihani ya kitaifa na upimaji iliyotakiwa kufanyika Oktoba na Novemba mwaka huu.
Akizungumza leo Ijumaa Septemba 25, 2026 Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir amesema uamuzi huo umefanyika ili kuhakikisha usalama wa mitihani hiyo, wanafunzi na wasimamizi.
Amesema pamoja na taarifa zilizopokewa kutoka katika mikoa kuhusu maandalizi ya kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua hizo, wizara imeona kuna umuhimu wa kufanya marekebisho ya ratiba ya uendeshaji wa Upimaji na Mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026.
“Lengo la marekebisho ya ratiba ni kuhakıkisha usalama wa wanafunzi, walimu, wasimamizi na maofisa wengine wanaohusika na uendeshaji wa mitihani, pamoja na kulinda mitihani, vifaa na nyaraka za mitihani. Iwapo mvua kubwa zitatokea mwezi Novemba 2026,” amesema.
Kwa mujibu Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6 badala ya Oktoba 21 na 22, huku Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili uliopaswa kufanyika Novemba 17 na 18 sasa utafanyika Oktoba 7 na 8.
Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili uliopaswa kufanyika Novemba 2 hadi 13 sasa utafanyika kuanzia Oktoba 12 hadi 23 wakati Mtihani wa Kidato cha Nne ilioapaswa kuanza Novemba 9 hadi 27 sasa utaanza Oktoba 19 na kumalizika Novemba 6, 2026.
View attachment 3677507
Ratiba Mpya ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2026
View attachment 3677509
Ratiba Mpya ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili 2026
View attachment 3677510
Ratiba Mpya ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne 2026
View attachment 3677511
😂😂😂Waziri mwenyewe amesoma elimu mbalimbali sisi tuseme nini tena? Kongole kwake 🙏🙏🙏
Uhai wa Kila mtu una thamani hata kama haukunufaishi wewe ila Kuna mtu anaweza akawa ananufaika.Uhai wa mwalimu si bora kuliko uhai wa kizazi mnachotuandalia ndio maana mkizingua tunawatwanga adhabu kali kwelikweli
Takataka kabisa wewe,hakuna replacement ya uhai wa mtu awaye.Mwalimu ni mtu mzima kwanza wameshakuwa wengi hata wakifa tuna replace haraka
Shida i wapi mana kaz anafanya vizuri tuEti huyo aliyevaa ushungi ndiye naibu waziri wa elimu ambaye naye elimu yake ya hapa na pale 🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna nini?Oktoba 29?
Mbona mwawa wa kukerekwa hata kwa visivyo na shida?Yaani Wanu Samia siku hz ndiye napewa kipaumbele kila serikali inapotaka kuongea na media.
Raising awareness has no limits.Hii el ninyo mbona inapewa promo sana?
Kabisa.. Kila kitu kitakuwa sawa...Hakuna el ninyo wala el nyonyo, hata ikitokea walimu watakimbiza bahasha za mitihani vyema kama wafanyavyo wakati upigaji kura.