EL, RA & JK wamnunua Mwanakijiji!

EL, RA & JK wamnunua Mwanakijiji!

Status
Not open for further replies.
mwanakijiji kama ni kweli wameleta pesa kula lakini akili kichwani..."revolutionaries has no price taga..."..hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kununuliwa ...kwani bei ya mtu ni shilingi ngapi....

wanaotaka kumununua au waliomnunua wanapoteza pesa yao kwa kuwa zimewazidi.....

Phillemon, nadhani hofu yako kuu ni kumpoteza Mwanakijiji, hilo tu!

Nasimama katika maneno ya Yesu Masihi " Pale hazina yako ilipo ndipo na Moyo wako utakuwapo". Haijalishi ni kiasi kidogo namna gani cha fedha mtu apokeacho kama hongo lazima ata-compromisse msimamo wake! Hivi unadhani hao wanaotaka kumnunua Mwanakijiji (kama ni kweli) ni wajinga? Wanajua bei ya Mwanakijiji na wanajua pia wakifanikiwa kumnunua watakuwa wamethibiti kauli zake na kumweka mfukoni APENDE, ASIPENDE!

Wanajua wanachokifanya na wame-prove kuwa inafanya kazi! Mifano ya karibuni ni akina Tambwe Hiza, Dk. KAburu na wengineo. Lakini mfano rahisi zaidi ni wakati wa uchaguzi- Tshirts, Skafu na Kofia tu zinatosha kugeuza misimamo ya wapiga kura. Mwanakijiji atakuwa amemaliza mwenyewe. HAo wanaosema watapambana wakifika ndani ya system ni Wasanii tu its either of the two. Kumbuka waliosema "If you cannot fight them, join them" hawakusema hivihivi; ukweli ni kuwa " If you join them, you cannot fight them"! Semeni na kuimba ukweli ni kuwa PALE HAZINA YAKO ILIPO NDIPO MOYO WAKO ULIPO.
 
Mkuu hii wala sio issue ngumu. Hamna wa kumnunua Mwanakijiji bwana, sasa Mwanakijiji utamfananisha na kina Dr. Kaburu na Tambwe hiza? Mwanakijiji ni Mwanasiasa wa kwenye internet hana madhara kwao kwa hiyo hata kama ni kumnunua thamani yake ni ndogo sana. Nakuhakikishia hamna anayemjua mwanakijiji, sasa utanunua mtu usie mjua?

Mwenyewe anajiita ni political Analysi eti nani anaijua hata CV ya mwanakijiji jamani?

The most prominent, provocative, and premier Swahili podcast by an author and political analyst M. M. Mwanakijiji he is intended to be an instrument that facilitate positive attitudinal and mentality change among Tanzanians as they try to build a modern, vibrant, and prosperous African nation
 
Rwabugiri, hayo ndiyo mawazo niliyoamka nayo leo.. sijui yataishia wapi lakini nimeamka nikiwa na hisia ya kukata tamaa, na hisia ya kuchoshwa na kujaribu kufikiri mkakati mwingine. Mkakati nilioamka nao leo ni wa kujiunga nao siyo wa mimi kubadilika.

......if this is true then the bottom line is that we have a SNITCH in the JF House....MWANAKIJIJI are you??
 
Yaani nimecheka kweli hapa kuhusu miili mikubwa ya Komba...

Mwanakijiji na wheelchair yake by the time afike mezani basi tayari Komba kishakula kilakitu.

Poor Mwanakijiji!

He! kumbe mwanakijiji mlemavu.
Pole sana sikujua hilo.
 
He! kumbe mwanakijiji mlemavu.
Pole sana sikujua hilo.

Mwanakijiji pole sana mimi pia sikujua kuwa ni mlemavu lakini sio mbaya nadhani unaweza kuongea na wazee wa CCM wakakupa ubunge kupitia viti maalumu
 
nina ulemavu wa viungo siyo wa mawazo! Killuminati trust me.. I ain't no snitch! Mtoto wa Mkulima.. CVs ya mtu inakuambia nini zaidi ya kukuonesha alichofanya? Unajua wangapi wana CVs na zina maana ya sifuri. Nenda kaangalie CV ya Kingunge kwenye tovuti ya Bunge na Ulinganishe na ya Mwandosya...
 
OK i read you sir Mwanakijiji, much respect to your previous work...anyway it would have been better and wiser if you get hold of the money, then we tell dem investors that we have another one of us holding the documents, so they'll have to negotiate the price, and again we do the same until we get hold of our money(they robbed the people so its our money anyway).On the other hand we all know that a coward dies THOUSANDS of times but a soldier dies only ONCE, in this case i'm afraid to say that your are not the soldier....Would you let the system that got and still gettin' on top of your head again??? Would you let the system that makes your brothermen suffer?? ALL THE BEST MAN!!
 
heshima mbele mkuu
mimi siwezi kufanya hivyo itakuwa ni laana kwa watanzania ninaomba mungu anisaidie kila kitu pesa pesa tu mimi nilitishiwa kuweka hizo picha nikampa mwanakijiji sasa zimempandisha chati ninaomba tu asije akanitaja kwa sababu tuna fahamiana sana na mwanakijiji.
ninahofu sana na jina langu MWJJ kunitaja.
Pole sana Mkuu,Kama Mwkjj kakubali kununuliwa ba fisadi kwa mujibu alivyokuwa anawaita basi na yeye ni fisadi...tangu leo ile vita ya kifikra anayoihubiri iishe.
 
Mwanakijiji,kama umenunuliwa useme kuanzia sasa hivi kwani nawewe tutakuja kukuita fisadi pia.

Natoa muda wa kujirekebisha ama kuja hapa na kukanusha taarifa hizi kwani zinatuumiza sisi wengine na hatupo tayari kuliona hilo likiwa linatokea kuwa waweza nunuliwa kama dagaa...,ama mafenesi ya Tanga?
 
mwanakijiji ni mtu anayetaka umaarufu kwa nguvu zozote, oneni huu upuuzi basi yeye mwenyewe anapenda kweli akiona watu wanamuongelea ! attention seekers hao ! ukiona mtu anaitch (anawashwa) kwa kitu fulani, yaani atafanya chochote akipate !

mtaanza kumlamba miguu sasa hivi !!
hamna wa kumlamba miguu,mimi nashangaa natafuta jina la kumpa nakosa
 
Pole sana Mkuu,Kama Mwkjj kakubali kununuliwa ba fisadi kwa mujibu alivyokuwa anawaita basi na yeye ni fisadi...tangu leo ile vita ya kifikra anayoihubiri iishe.

Thread hii iunganishwe na ile ya mafisadi wa JF?
 
HASARA.
Hivi ni kweli MWANA KIJIJI KANUNULIA?Kununuliwa kwake usije na wewe kuingia kwenye mkondo huo nachoona na kuweka nguvu za pamoja wana JF katika kumrudisha mwanakijiji kundini.

MAMBO MENGINE HAYAINGII AKILINI HII NAONA SI KWELI NI UZUSHI TU🙂
 
Kada nenda kakopi message yangu kuhusu Zitto na ajali na mchango wangu kuhusu mada hiyo.. you'll be suprised to read what I actually wrote.. kukurupuka kubaya. Kama hutaweza kufanya hivyo, nitakusaidia nikiamka, maana kama itabidi nikutafunie pie I'll do that.. maana katika posti yako una imply msimamo wangu kuhusu ile ajali ni tofauti na huo aliousema Zitto hapo.... you are dead wrong.

sitoshangaa kama umeiEDIT kijana, najua ulichosema ! trust me, you sometimes dont know what you are talking about, bali unapakazia too much !
 
It is too cheap, hope if JK/gvt will not respond as per the stated date, hasara utaweka picha hadharani.(was a promise)
 
Halafu wewe ndio uwe wakwanza kusema picha unazo , mwingine afuatie na afuatie kama walivyokuwa wanasema kuhusu mkataba wa Barrick

Wenzako wako na peni waone nani ni nani anachangia nini , anachochangia anatoa wapi , rafiki yake wa karibu ni nani , nani ataenda chemba yake kusema kitu

Huu ni uchokozi ili ujimwage

Katika Upelelezi inaitwa TELL
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom