Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,730
- 530
mwanakijiji kama ni kweli wameleta pesa kula lakini akili kichwani..."revolutionaries has no price taga..."..hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kununuliwa ...kwani bei ya mtu ni shilingi ngapi....
wanaotaka kumununua au waliomnunua wanapoteza pesa yao kwa kuwa zimewazidi.....
Phillemon, nadhani hofu yako kuu ni kumpoteza Mwanakijiji, hilo tu!
Nasimama katika maneno ya Yesu Masihi " Pale hazina yako ilipo ndipo na Moyo wako utakuwapo". Haijalishi ni kiasi kidogo namna gani cha fedha mtu apokeacho kama hongo lazima ata-compromisse msimamo wake! Hivi unadhani hao wanaotaka kumnunua Mwanakijiji (kama ni kweli) ni wajinga? Wanajua bei ya Mwanakijiji na wanajua pia wakifanikiwa kumnunua watakuwa wamethibiti kauli zake na kumweka mfukoni APENDE, ASIPENDE!
Wanajua wanachokifanya na wame-prove kuwa inafanya kazi! Mifano ya karibuni ni akina Tambwe Hiza, Dk. KAburu na wengineo. Lakini mfano rahisi zaidi ni wakati wa uchaguzi- Tshirts, Skafu na Kofia tu zinatosha kugeuza misimamo ya wapiga kura. Mwanakijiji atakuwa amemaliza mwenyewe. HAo wanaosema watapambana wakifika ndani ya system ni Wasanii tu its either of the two. Kumbuka waliosema "If you cannot fight them, join them" hawakusema hivihivi; ukweli ni kuwa " If you join them, you cannot fight them"! Semeni na kuimba ukweli ni kuwa PALE HAZINA YAKO ILIPO NDIPO MOYO WAKO ULIPO.