El Salvador yakamata tani 6.6 za cocaine, meli iliyobeba unga ina bendera ya Tanzania!

El Salvador yakamata tani 6.6 za cocaine, meli iliyobeba unga ina bendera ya Tanzania!

Tusifueahie watakuja na kodi mpya kwa hasira ya kupoteza mzigo hadi hela yao irudi
Mwaka kipindi mzee wa lupaso anamaliza mda wake akawa anataka mwandosya ndo achukue mikoba wahuni wakamzidi nguvu alisema jambo moja kwenye kamati kuu ya chama nafikiri wanalikumbuka alisema sawa si nchi mmekubali kumpa huyu muhuhi mtanimbuka
 
Mwaka kipindi mzee wa lupaso anamaliza mda wake akawa anataka mwandosya ndo achukue mikoba wahuni wakamzidi nguvu alisema jambo moja kwenye kamati kuu ya chama nafikiri wanalikumbuka alisema sawa si nchi mmekubali kumpa huyu muhuhi mtanimbuka
Tunaendelea mkumbuka mzee wa lupaso
 
Wakuu,

Bendera ya Tanzania kuwa kwenye meli hii inamaanisha nini na ina athari gani kidiplomasia? Na hiyo mizigo hapo chini imefungwa kwa bendera yetu pia?🤔

====

View attachment 3548239

Mnamo Februari 19, 2026, katika eneo la La Unión, El Salvador, Jeshi la Majini la nchi hiyo lilitangaza kufanya ukamataji mkubwa zaidi wa dawa za kulevya katika historia yake. Operesheni hiyo ilifanikiwa baada ya kukamatwa kwa tani 6.6 za cocaine zilizokuwa zikisafirishwa baharini.

Pia soma

Meli hiyo yenye urefu wa futi 180 ilinaswa umbali wa takriban maili 380 kusini-magharibi mwa pwani ya Pasifiki ya nchi hiyo. Katika upekuzi wa kina, wapiga mbizi wa Jeshi la Majini walifanikiwa kupata vifurushi 330 vya cocaine ambavyo vilikuwa vimefichwa ndani ya matenki ya uzito (ballast tanks) ya meli hiyo.

Kufuatia operesheni hiyo, jumla ya wanaume kumi walitiwa mbaroni. Watuhumiwa hao wanatoka katika nchi za Colombia, Nicaragua, Panama, na Ecuador, wakiashiria mtandao mpana wa kimataifa uliohusika katika usafirishaji wa shehena hiyo.

View attachment 3548261
View attachment 3548262

================================​
On Sunday, El Salvador's navy announced the largest drug seizure in the country's history of 6.6 tons of cocaine. The navy had intercepted a 180-foot boat registered to Tanzania, 380 miles southwest of the coast. Navy divers found 330 packages of cocaine hidden in the boat's ballast tanks. Ten men were arrested from Colombia, Nicaragua, Panama and Ecuador.

On Thursday, Salvadoran authorities gave access to the seized ship FMS Eagle, which had just arrived in the port of La Union. Images released by the navy showed more than 200 wrapped bundles lined up on the deck.

The Trump administration has pressured Mexico to make more drug seizures over the past year. The trafficking of drugs like fentanyl was the president's justification for tariffs on Mexican imports.

Mexican President Claudia Sheinbaum has responded with a more aggressive stance toward drug cartels than her predecessor, that has included sending dozens of drug trafficking prisoners to the United States for prosecution, including 37 individuals last month.

Sheinbaum has also expressed her disagreement with strikes by the U.S. military in the Caribbean Sea and Pacific Ocean against boats suspected of carrying drugs.

At least 145 people have been killed in those strikes since the U.S. government began targeting those it calls "narcoterrorists" last September.

The U.S. strikes this week included two vessels carrying four people each in the eastern Pacific Ocean and another boat in the Caribbean carrying three people. The administration provided images of the boats being destroyed, but not evidence they were carrying drugs.

Earlier this week, the U.S. Coast Guard seized over 2,000 pounds of cocaine while attempting to intercept a boat that was trafficking drugs off Puerto Rico. The crew of the alleged drug-ferrying boat "began evasive maneuvers" before throwing their cargo overboard and fleeing, the Coast Guard said.

Source: NTD News
Hongera kwa mama yao, nchi inavuma duniani kwa kila aina ya ujinga!
 
Back
Top Bottom