El Salvador yakamata tani 6.6 za cocaine, meli iliyobeba unga ina bendera ya Tanzania!

El Salvador yakamata tani 6.6 za cocaine, meli iliyobeba unga ina bendera ya Tanzania!

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Bendera ya Tanzania kuwa kwenye meli hii inamaanisha nini na ina athari gani kidiplomasia? Na hiyo mizigo hapo chini imefungwa kwa bendera yetu pia?🤔

====



Mnamo Februari 19, 2026, katika eneo la La Unión, El Salvador, Jeshi la Majini la nchi hiyo lilitangaza kufanya ukamataji mkubwa zaidi wa dawa za kulevya katika historia yake. Operesheni hiyo ilifanikiwa baada ya kukamatwa kwa tani 6.6 za cocaine zilizokuwa zikisafirishwa baharini.

Pia soma

Meli hiyo yenye urefu wa futi 180 ilinaswa umbali wa takriban maili 380 kusini-magharibi mwa pwani ya Pasifiki ya nchi hiyo. Katika upekuzi wa kina, wapiga mbizi wa Jeshi la Majini walifanikiwa kupata vifurushi 330 vya cocaine ambavyo vilikuwa vimefichwa ndani ya matenki ya uzito (ballast tanks) ya meli hiyo.

Kufuatia operesheni hiyo, jumla ya wanaume kumi walitiwa mbaroni. Watuhumiwa hao wanatoka katika nchi za Colombia, Nicaragua, Panama, na Ecuador, wakiashiria mtandao mpana wa kimataifa uliohusika katika usafirishaji wa shehena hiyo.




================================​
On Sunday, El Salvador's navy announced the largest drug seizure in the country's history of 6.6 tons of cocaine. The navy had intercepted a 180-foot boat registered to Tanzania, 380 miles southwest of the coast. Navy divers found 330 packages of cocaine hidden in the boat's ballast tanks. Ten men were arrested from Colombia, Nicaragua, Panama and Ecuador.

On Thursday, Salvadoran authorities gave access to the seized ship FMS Eagle, which had just arrived in the port of La Union. Images released by the navy showed more than 200 wrapped bundles lined up on the deck.

The Trump administration has pressured Mexico to make more drug seizures over the past year. The trafficking of drugs like fentanyl was the president's justification for tariffs on Mexican imports.

Mexican President Claudia Sheinbaum has responded with a more aggressive stance toward drug cartels than her predecessor, that has included sending dozens of drug trafficking prisoners to the United States for prosecution, including 37 individuals last month.

Sheinbaum has also expressed her disagreement with strikes by the U.S. military in the Caribbean Sea and Pacific Ocean against boats suspected of carrying drugs.

At least 145 people have been killed in those strikes since the U.S. government began targeting those it calls "narcoterrorists" last September.

The U.S. strikes this week included two vessels carrying four people each in the eastern Pacific Ocean and another boat in the Caribbean carrying three people. The administration provided images of the boats being destroyed, but not evidence they were carrying drugs.

Earlier this week, the U.S. Coast Guard seized over 2,000 pounds of cocaine while attempting to intercept a boat that was trafficking drugs off Puerto Rico. The crew of the alleged drug-ferrying boat "began evasive maneuvers" before throwing their cargo overboard and fleeing, the Coast Guard said.

Source: NTD News
 
inawezekana ikawa resolution ya image tu haiko poa, kwani huko caribbean kuna visiwa vina bendera kama ya tanzagiza kabisa isipokuwa baadhi ya rangi tu kwenye mistari, lkn inawezekana ikawa ni ya tanzagiza na muirani keshafanya mambo pia ...
 
Ipo sheria inazihusu meli kusajiriwa Nchi yeyote hata kama wamiliki sio Watanzania miaka ya nyuma meli za Korea Kaskazini nyingi zilikua na usajiri wa Tanzania na wanaweka bendera yetu mpaka walipoambiwa wasifanye hivyo na Serikali ya Tanzania...
Meli nyingi za kubeba mafuta za Maduro alizipa usajiri wa Russia hata hiyo moja ambayo wameingia kwenye mgogoro na USA ni ya Venezuela ila usajiri na bendera ya Russia.
 
Colombia incauta aproximadamente 7,25 toneladas de cocaína, ¡barco que transportaba el polvo tiene bandera de Tanzania!
1771964607465.png

La embarcación, registrada bajo bandera de Tanzania, transportaba 6,6 toneladas de cocaína ocultas en tanques de lastre, con un valor estimado ..
1771965211010.jpeg

Nayib Bukele reveló la captura del Buque de Apoyo Multipropósito FMS EAGLE, embarcación que se mantenía registrada bajo la bandera de Tanzania, África, con el almacén de 330 bultos equivalentes a 6,6 toneladas de cocaína. El presidente de El Salvador describió el hecho como “la incautación de droga más grande en la historia” del país
 
Ni kawaida Drug Curtail kuzubaisha Kwa Kuweka hiyo Bendera maana yake hiyo Meli ina Originate Tanzania

Sasa wewe mwana CHADEMA na TEC tujiulize Tanzania inatengeneza Meli? Jibu hapana. meli iwapo baharini huwa inapeperusha bendera ya country of origin ikikaribia kufika nchi husika yaani mfano Tanzania Territorials ndo inapandisha bendera ya Tanzania.

Hao walikua wanaweka bendera ya Tanzania kukwepa Doria ya Atlantic na Pacific ambayo inafanywa na Marekani hata kwenye Ndege ukiwa umetoka Colombia, Brazil, Mexico unakua classified as a red flag kwa hiyo luggage zake zitakaguliwa kwa umakini kwa sababu ndo channel ya Cocaine iliko.
 
Back
Top Bottom