Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Huyo kiumbe ana mchango asilimia hadi 70 kwenye mafanikio ya Barcelona,
Madrid kuna haja ya kuwasajili akina harzad,mbappe na neymarEl Clásico record kabla ya Messi:
Barcelona 66 - 87 Madrid
El Clásico record alipoanza kucheza Messi:
Barcelona 96 - 95 Madrid
Umegundua niniView attachment 1038245
Sent using Jamii Forums mobile app
El Clásico record kabla ya Messi:
Barcelona 66 - 87 Madrid
El Clásico record alipoanza kucheza Messi:
Barcelona 96 - 95 Madrid
Umegundua niniView attachment 1038245
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini ndo mchezaji anayeongoza kuitandika MadridSasa huyo messi amekifanya nini kwenye hizi classico 4 za mwaka huu? hata goli moja hana zaidi ya kuzunguka tu uwanjani
Kawafunga magoli 26 na assist za kutosha.Sasa huyo messi amekifanya nini kwenye hizi classico 4 za mwaka huu? hata goli moja hana zaidi ya kuzunguka tu uwanjani
Tokea dunia iumbwe hakuna mchezaji kama Messi. Na hata tokea
Wenye wivu wajinyonge