Elclasico kabla na baada ya Messi

Elclasico kabla na baada ya Messi

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
El Clásico record kabla ya Messi:
Barcelona 66 - 87 Madrid

El Clásico record alipoanza kucheza Messi:
Barcelona 96 - 95 Madrid

Umegundua nini
FB_IMG_1551766914256.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
El Clásico record kabla ya Messi:
Barcelona 66 - 87 Madrid

El Clásico record alipoanza kucheza Messi:
Barcelona 96 - 95 Madrid

Umegundua niniView attachment 1038245

Sent using Jamii Forums mobile app


Nitapata kuwahadithia wajukuu zangu kuwa

BABU PANTHER___kulikuwa na King mmoja tu duniani

WAJUKUU___Nani huyo?

BABU PANTHER___Messi, ni kiumbe hakijawahi kutokea wajukuu zangu, na itachukuwa karne nyingi kumpata kama Messi.

WAJUKUU___Tumekupata Babu 😍😍😍😍😘😘😘❤❤❤
 
Sasa huyo messi amekifanya nini kwenye hizi classico 4 za mwaka huu? hata goli moja hana zaidi ya kuzunguka tu uwanjani
 
Tokea dunia iumbwe hakuna mchezaji kama Messi. Na hata tokea

Wenye wivu wajinyonge


Brother unakosea unavyosema hivyo, sisi waislamu tumefundishwa kuwa anaejua Ghayb/mambo magumu yasiojulikana au kutabirika ni Allah azza wa Jalla/Hidden World ni Allah peke yake yeye ndio ana elimu hiyo

Messi ni kiumbe kama viumbe wengine na Allah huumba anavyopenda na anaweza kuja umba Zaidi mara kuliko kuliko huyo Messi, Wallahu yakhluku maa yashaa
 
Back
Top Bottom