Eldoret vs Mwanza

Sasa PPP Umejua leo na hata hujui meaning.The best way to measure poverty levels is using GDP per capita...check GDP per capita ya TZ and Ke then urudi hapa
Wanaofaidi National Cake ya Kenya ni Wageni zaidi tena Wazungu.

Miji iliyoendelea sana Kenya, kama Lavington, Hurlingham, Karen na Muthaiga wanaishi wazungu huko

Kule kibera ndiko wanakoishi watu weusi wa Kenya.

Ukweli mchungu huu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna mahali kama A- TOWN.
 
BAADA YA PICHA ZOOOOOOOTE KABLA SIJAPUMZIKA SASA NAKUJA NA PICHA ZA MIJI YOTE MIWILI KAMA IFUTAVYO WAPENDWA;

Hi I ni city rock MWANZA View attachment 501119hii ni ELDORET View attachment 501120

Weka same scale/zize ya picha acha kututania, Mwanza umezoom in kwa sababu ni kadogo compared to Eldy, ni dhahiriEldy ni kubwa,imejengeka zaidi tena kwa mpangilio na ni city kamili.
 

Heheee... Laughing at you....
 
Hata wewe hebu compare hizo CBDs mbili......

Mwanzs the second largest city in Tanzania



VS

Eldoret the 4th largest in Kenya!


Thanks Icono...!
Jina lako huwa lanishinda kutamka pamoja na kuliandika..😀
 
Eldy.........



Sory if some of the pics I am about to post are here already













Moi referall Hosp.





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…