Eldoret vs Mwanza

Eldoret vs Mwanza

Sasa PPP Umejua leo na hata hujui meaning.The best way to measure poverty levels is using GDP per capita...check GDP per capita ya TZ and Ke then urudi hapa
Wanaofaidi National Cake ya Kenya ni Wageni zaidi tena Wazungu.

Miji iliyoendelea sana Kenya, kama Lavington, Hurlingham, Karen na Muthaiga wanaishi wazungu huko

Kule kibera ndiko wanakoishi watu weusi wa Kenya.

Ukweli mchungu huu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimekaa Nakuru, Kitale, Kisumu Nairobi,Thika Na Eldoret

Eldoret Ni City Kenya Lakin Huwez Compare Ukubwa Na Uzuri Wa Eldoret Na Nakuru
Nakuru Is Better...

Huyu Jamaa Lazima Anatoka Eldoret...
Na Hata Tanzania Nafikiri Alifika Border Tu

Unaanzaje Kucompare Mwanza...Umeiacha Arusha Na Mbeya

Moshi Yenyewe Imepangwa Na Ni Nzuri Kuliko Eldoret
Hakuna mahali kama A- TOWN.
 
ELDORET
CWczL05UEAAZZk2.jpg
CrqU1o2VUAAkJSC.jpg
C0yboCbW8AEnAon.jpg
 
BAADA YA PICHA ZOOOOOOOTE KABLA SIJAPUMZIKA SASA NAKUJA NA PICHA ZA MIJI YOTE MIWILI KAMA IFUTAVYO WAPENDWA;

Hi I ni city rock MWANZA View attachment 501119hii ni ELDORET View attachment 501120

Weka same scale/zize ya picha acha kututania, Mwanza umezoom in kwa sababu ni kadogo compared to Eldy, ni dhahiriEldy ni kubwa,imejengeka zaidi tena kwa mpangilio na ni city kamili.
 
Wanaofaidi National Cake ya Kenya ni Wageni zaidi tena Wazungu.

Miji iliyoendelea sana Kenya, kama Lavington, Hurlingham, Karen na Muthaiga wanaishi wazungu huko

Kule kibera ndiko wanakoishi watu weusi wa Kenya.

Ukweli mchungu huu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Heheee... Laughing at you....
 
Back
Top Bottom