Eldoret vs Mwanza

Funny how you spew so many words yet repost the same photos of your 2nd largest city looking no better than our 5th largest
 
the day u bring the battle of mwanza vs mombasa I will join u. what u are doing here right now is totaly childish.
 
the day u bring the battle of mwanza vs mombasa I will join u. what u are doing here right now is totaly childish.
Hiyo hata mimi ntajoin, sio huu upuuzi wakenya wanafanya hapa!
 
the day u bring the battle of mwanza vs mombasa I will join u. what u are doing here right now is totaly childish.
Mwanza inapigwa na kisumu epdoret na Nakuru utalinganisha nini na Mombasa?
 
Mwanza inapigwa na kisumu epdoret na Nakuru utalinganisha nini na Mombasa?
kaanzishe uzi acha kelele. nyie watu ni wa ajabu sana battle ya dsm na nairobi ikiwa bado inaendelea na dsm ikiwa na watz tukiwa tunawamiminia vitu ambavyo hamjui kama vipo bongo, mkaona mtazidiwa mkaenda kuanzisha uzi wa dsm vs kampala ili kuipoza batlle ya dsm na nairobi. kuna mwingine akaanzisha dsm vs mombassa ili watu wasiconcetrate na battle ya NAI na DSM. badilikeni, huu si mda wenu kujikweza. tunafahamu mnapenda kulinganisha miji yetu na vimiji vyenu vya hovyo hovyo ili muonekane hatuna miji inayoifunika miji yenu. ndiyo maana kwenyd uzi huu tumewaangalia maana tutakuwa hatna akili kukbali battle ya kijinga kama hii. size ya jiji la mwanz kw kenya ni mombassa siyo hiyo miji yenu ya hovyo hovyo. tunawadharau hamjui tu.
 
Mwanza inapigwa na kisumu epdoret na Nakuru utalinganisha nini na Mombasa?
Mungu Awasaidie Muwekeze kwenye Uelewa sio Mnajenga Shule tu nyiiiiingi halafu hakuna kitu Mnaeleweshana...

Mzee mmoja alifananisha Nairobi na Wale wanawake wanahangaika kupodoa suraaa.. Gala miguu myeusiiii..
Halafu DSM kama mwanamke Wa kiswahili anayejiamini.. Msafi anafunga kilemba chake na kuembrace her natural beauty..

Kisum?u kwa Mwanza?!!!!! Huenda 2/3 ya kisumu popn itakuwa ndio half of working popn of Mwanza... Saba mtalinganishaje... Just a single mall for over 90m USD... Could be real estate value of a street in your down town are..a.

What economy a 300k people city would comnd over Mwanza nearly 1mil. People?!
 
Mwasema tulete Uzi kana kwamba mshasahau jinsi ya kufungua Uzi hapa jf? Anayetaka this vs that thread aibuni mwenyewe awekwe laini mbio mbio
 
Mwasema tulete Uzi kana kwamba mshasahau jinsi ya kufungua Uzi hapa jf? Anayetaka this vs that thread aibuni mwenyewe awekwe laini mbio mbio
kiswahili hiki cha mwambao wa mombasa sikielewi
 
Mwanza Nyumbani
 
kiswahili hiki cha mwambao wa mombasa sikielewi
Na kizungu pia shida, sioni namna ya kukusaidia kaka.

Kama zoga la samaki, nenda na mtiririko wa maji, labda utaelewa mawili matatu baadae.
 
Na kizungu pia shida, sioni namna ya kukusaidia kaka.

Kama zoga la samaki, nenda na mtiririko wa maji, labda utaelewa mawili matatu baadae.
kizungu kipi hapo ama unataka tuanze kushindanisha matusi.
 
You Tanzanians have nothing else to do other than comparing everything of yours with Kenya. Stop comparing yourself with Kenya or for that matter Kenya's issues but rather compare yourselves with your country's vision and development goals
Tell them the truth.
 
Wanawake wa Kenya ni wabovu,,nilikutana na mabinti wawili wa Nairobi maeneo ya Elements Lounge kwa parking,,,wakaning'ang'ania kijana wa kikurya,,,hiyo Siku kila mtu alikua ananitext nimetoa wapi mademu wabovu hivyo??and I was like,,they are Nairobi's finest ,,,
The only place I saw beautiful Kenyans is at kiza Dubai,and when I asked them they were not from Kenya but Mombasa,which is Tz protectorate
 
Endelea kutunga story kabisa.

KURYA ndio mnyama mgani.? ni KURIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…