Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo hata mimi ntajoin, sio huu upuuzi wakenya wanafanya hapa!the day u bring the battle of mwanza vs mombasa I will join u. what u are doing here right now is totaly childish.
Mwanza inapigwa na kisumu epdoret na Nakuru utalinganisha nini na Mombasa?the day u bring the battle of mwanza vs mombasa I will join u. what u are doing here right now is totaly childish.
kaanzishe uzi acha kelele. nyie watu ni wa ajabu sana battle ya dsm na nairobi ikiwa bado inaendelea na dsm ikiwa na watz tukiwa tunawamiminia vitu ambavyo hamjui kama vipo bongo, mkaona mtazidiwa mkaenda kuanzisha uzi wa dsm vs kampala ili kuipoza batlle ya dsm na nairobi. kuna mwingine akaanzisha dsm vs mombassa ili watu wasiconcetrate na battle ya NAI na DSM. badilikeni, huu si mda wenu kujikweza. tunafahamu mnapenda kulinganisha miji yetu na vimiji vyenu vya hovyo hovyo ili muonekane hatuna miji inayoifunika miji yenu. ndiyo maana kwenyd uzi huu tumewaangalia maana tutakuwa hatna akili kukbali battle ya kijinga kama hii. size ya jiji la mwanz kw kenya ni mombassa siyo hiyo miji yenu ya hovyo hovyo. tunawadharau hamjui tu.Mwanza inapigwa na kisumu epdoret na Nakuru utalinganisha nini na Mombasa?
Mungu Awasaidie Muwekeze kwenye Uelewa sio Mnajenga Shule tu nyiiiiingi halafu hakuna kitu Mnaeleweshana...Mwanza inapigwa na kisumu epdoret na Nakuru utalinganisha nini na Mombasa?
kiswahili hiki cha mwambao wa mombasa sikielewiMwasema tulete Uzi kana kwamba mshasahau jinsi ya kufungua Uzi hapa jf? Anayetaka this vs that thread aibuni mwenyewe awekwe laini mbio mbio
Mwanza NyumbaniMungu Awasaidie Muwekeze kwenye Uelewa sio Mnajenga Shule tu nyiiiiingi halafu hakuna kitu Mnaeleweshana...
Mzee mmoja alifananisha Nairobi na Wale wanawake wanahangaika kupodoa suraaa.. Gala miguu myeusiiii..
Halafu DSM kama mwanamke Wa kiswahili anayejiamini.. Msafi anafunga kilemba chake na kuembrace her natural beauty..
Kisum?u kwa Mwanza?!!!!! Huenda 2/3 ya kisumu popn itakuwa ndio half of working popn of Mwanza... Saba mtalinganishaje... Just a single mall for over 90m USD... Could be real estate value of a street in your down town are..a.
What economy a 300k people city would comnd over Mwanza nearly 1mil. People?!
Na kizungu pia shida, sioni namna ya kukusaidia kaka.kiswahili hiki cha mwambao wa mombasa sikielewi
kizungu kipi hapo ama unataka tuanze kushindanisha matusi.Na kizungu pia shida, sioni namna ya kukusaidia kaka.
Kama zoga la samaki, nenda na mtiririko wa maji, labda utaelewa mawili matatu baadae.
Tell them the truth.You Tanzanians have nothing else to do other than comparing everything of yours with Kenya. Stop comparing yourself with Kenya or for that matter Kenya's issues but rather compare yourselves with your country's vision and development goals
Endelea kutunga story kabisa.Wanawake wa Kenya ni wabovu,,nilikutana na mabinti wawili wa Nairobi maeneo ya Elements Lounge kwa parking,,,wakaning'ang'ania kijana wa kikurya,,,hiyo Siku kila mtu alikua ananitext nimetoa wapi mademu wabovu hivyo??and I was like,,they are Nairobi's finest ,,,
The only place I saw beautiful Kenyans is at kiza Dubai,and when I asked them they were not from Kenya but Mombasa,which is Tz protectorate