Electricity penetration in Africa: Kenya at 84.5%, Tanzania at 39.5% - what is not happening Tanzania?

Electricity penetration in Africa: Kenya at 84.5%, Tanzania at 39.5% - what is not happening Tanzania?

Katupiga changa la macho huyo mkenya-mlaaniwa, anajitahidi kugombania baraka za Tanzania lakini wapiii, heheheheView attachment 1691388View attachment 1691389
Usipende kubishana na Kenyans kwa sababu wengi wao have never been to Tanzania wanaamini exaggerations/maneno ya wenzao who have been here some 40 years a go na bado wanadhani Tanzania ni ile ile waijuao wao. They are very funny, Tanzania wanayoijuwa wao doesn't even exist hapa Tanzania. Watakuja kushangaa siku tunainunua Kenya na kuwa one of the regions hapa Tanzania.
 
Halafu tuchukue mfano wa kijiji kimoja kilichofikiwa na umeme. Tukiite kijiji A. Hiki kijiji kina nyumba hamsini. Just because kijiji A kimefikiwa na umeme haimaanishi kwamba nyumba zote 50 zina umeme. Ni jukumu la kila nyumba kulipa ada kidogo ili waungwe na umeme. Hapa Kenya unalipa ksh 15,000 ili uungwe na umeme. Huko Tanzania sio bure kuungwa na umeme lazima utoe pesa ili uungwe na umeme na sio kila nyumba itaweza kumudu kutoa pesa hio. Kwa hivyo just because a village is connected to electricity does not mean that every house is connected to electricity.
Ilo liko wazi
 
Wanahesabu vijiji kuliko households!!!
Ujamaa mentality
Target ya wizara ni kupeleka umeme vijijini na sio kumfungia kila mwanakijiji umeme,Huwez mlazimisha punda kunywa maji hata ukimpeleka mtoni kama hana kiu hata yanywa....Lakini kuhamasisha watu kutumia nishati ya umeme ili kupunguza matumizi ya mkaa na kuni nalo linasisitizwa.....
 
Mkuu NairobiWalker this is vice versa.....rudia tena makala yako. Uwe unapenda kusoma na kupata habari kamili before posting ujinga kama huu, don't try imitating Trump kuja na habari za kijinga without proof, you are NOT good at it.

Pole ni kwa hii misiba inayotokana na viongozi kushindwa kupumua...

 
Mkuu NairobiWalker this is vice versa.....rudia tena makala yako. Uwe unapenda kusoma na kupata habari kamili before posting ujinga kama huu, don't try imitating Trump kuja na habari za kijinga without proof, you are NOT good at it.
So where is your proof?

Here is what world bank says from this 2018 report.
1.PNG



 
CHANZO CHA TAARIFA YAKO NI NINI?
Hizi hapa


 
Achana Nao Wamezoea Data zamakaratasi Uhalisia 0

Mpaka Kufikia Tarehe 22 Tanzania imefanimiwa Kuweka Umeme Vijiji 10126

Na Kuanzia Tarehe 12 Mwezi wa Pili, Zoezi la kufuta Vijiji vyote Linaanza

Source yangu ndio hii. Wewe source yako iko wapi?


 
Shida ya Watanzaia ni kutumia wanasiasa kama their source of information. Hii tabia mtaacha lini?


Iyo taarifa ya 2018 leo ni 2021 kwann una rely kwenye vitu vya kale unakumbuka hata Kenya 2014 mwanzoni mlikuja ldc
 
Stop bringing to us "bush statistics " here. We are a group of well informed and educated people. Have some respect. You know well this is fake stats but you still dare to bring here. Shame on you! !
Huwaga jinga hilo, limekuwa assigned to downgrade Tz popote pale, utalikuta naira land ya naija akibishana na Tanzanians. Ndio kazi zao, so they come with whatever, mkono uingie kinywani.
 
Iyo taarifa ya 2018 leo ni 2021 kwann una rely kwenye vitu vya kale unakumbuka hata Kenya 2014 mwanzoni mlikuja ldc
Yes, that's why it's 75% for Kenya and 35% for Tanzania. As it stands, it's 85% for Kenya and 37% for Tanzania. Ama ulitaka nilete neno la kutamkwa la mwanasiasa kama mnavyofanya.
 
Stop bringing to us "bush statistics " here. We are a group of well informed and educated people. Have some respect. You know well this is fake stats but you still dare to bring here. Shame on you! !
From world bank. Unless you have better statistics than these ones from World Bank. It's normal for Tanzanians to rubbish any statistic that doesn't sing their tune.
 
MK254, With due respest has it ever occured to you the ndangayi(ass) mentality derive from mungambo ideology??????
 
Halafu tuchukue mfano wa kijiji kimoja kilichofikiwa na umeme. Tukiite kijiji A. Hiki kijiji kina nyumba hamsini. Just because kijiji A kimefikiwa na umeme haimaanishi kwamba nyumba zote 50 zina umeme. Ni jukumu la kila nyumba kulipa ada kidogo ili waungwe na umeme. Hapa Kenya unalipa ksh 15,000 ili uungwe na umeme. Huko Tanzania sio bure kuungwa na umeme lazima utoe pesa ili uungwe na umeme na sio kila nyumba itaweza kumudu kutoa pesa hio. Kwa

hivyo just because a village is connected to electricity does not mean that every house is connected to electrici

Hizi hapa


hapa unatumia reference ya mwaka 2018; leo tupo 2021! TUMIA AKILI, HATUJALALA TUNAENDELEA KUWAPATIA WATU WETU UMEME.
 
Back
Top Bottom