Electronic warfare: Urusi yakwamisha vifaa vya kimarekani,haviwezi kupiga tena.

Electronic warfare: Urusi yakwamisha vifaa vya kimarekani,haviwezi kupiga tena.

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
imeelezwa kuwa uwezo wa Urusi kubadili mbinu katikati ya mzozo imeipa nguvu kubwa ya kupambana na silaha ilizopatiwa Ukraine ambazo zinatumia GPRS ili kupata shabaha zake.
Mwanzoni Urusi ilikuwa inatumia mitambo mikubwa kwa ajili ya kazi hiyo ambayo ilikuwa ikitembea katikati ya msururu wa magari yakej ya kivita.Baadhi ya magari hayo yaliwahi kutekwa na adui na kuinyima uwezo huo wa kuzizima silaha za adui.
Kwa sasa Urusi imetengeneza vitambo vidogo vidogo ambavyo huwa vinabebwa na vikundi vidogo vidogo vya askari.vifaa hivyo katika siku za karibuni vimeweza kuzizima silaha za Marekani yakiwemo HIMARS ambapo vimeshindwa kabisa kupiga shabaha alipo adui.
 
Hadi Ukraine walienda kulipua ikulu ya urusi inamaana hiyo mitambo ilikuwa inafanya kazi gani.
Haiwezi kuwa mia kwa mia.Hata hivyo kiwango cha mafanikio cha kuzizima hizo HIMARS kinaridhisha na kimewalinda pakubwa dhidi ya mapigo yaliyotarajiwa kuwaporomosha kabisa.
 
Back
Top Bottom