Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,411
- 3,712
- Katika hospitali ya rufaa kabisa, madaktari waliokuwa zamu walikuwa wanasoma dalili za ugonjwa kwenye internet na YouTube, nilichoka sana lakini kwa bahati mgonjwa wetu alipona tulipewa daktari ambaye alikuwa ni professional zaidi. Lakini yule mgonjwa waliyekuwa wanamsomea sidhani kama alipona.
- Kituko cha pili,tulimpeleka mgonjwa kituo cha afya, badala ya kupokewa mapokezi tukapokewa na mlinzi, mlinzi akataka kumueleze namna mgonjwa anavyojisikia na dalili nikachoka sana, maana kazi yake ni ulinzi sio udaktari.
Tupe kituko ulichowahi kukutana nacho