Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,411
- 3,712
- Thread starter
- #21
Hapo sasa,na chakusikitisha ni hospotali ya rufaa,nilikosa nguvu.Wagonjwa wasome na madaktari wasome mbele yetu, mbona majanga?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa,na chakusikitisha ni hospotali ya rufaa,nilikosa nguvu.Wagonjwa wasome na madaktari wasome mbele yetu, mbona majanga?!!
Kuna site kama Mayo ni kawaida madaktari kuipitia,ujue duniani kuna maginjwa mengi sana na mengine yanaibuka kila siku.elimu haina mwishoKwahiyo wanajifunzia mbele ya mgonjwa,wako serious kweli,maarifa wanaweza pata kwa kusoma wakiwa off.
Kwanini wasiwe wanapiga msuli ofisini na kisha wanakuja kuhudumia na cha kusikitisha ni hospitali ya rufaa tunayoamini ni wabobezi.Kuna site kama Mayo ni kawaida madaktari kuipitia,ujue duniani kuna maginjwa mengi sana na mengine yanaibuka kila siku.elimu haina mwisho
Kama Kufanya reference ya signs and symptoms mtandaoni unaona kuwa ni kituko basi na wewe ukiwa unaumwa au una mgonjwa just ingia youtube usome umtibu usimpeleke kwa hao wanaofanya what u say ni "vituko"- Katika hospitali ya rufaa kabisa, madaktari waliokuwa zamu walikuwa wanasoma dalili za ugonjwa kwenye internet na YouTube, nilichoka sana lakini kwa bahati mgonjwa wetu alipona tulipewa daktari ambaye alikuwa ni professional zaidi. Lakini yule mgonjwa waliyekuwa wanamsomea sidhani kama alipona.
- Kituko cha pili,tulimpeleka mgonjwa kituo cha afya, badala ya kupokewa mapokezi tukapokewa na mlinzi, mlinzi akataka kumueleze namna mgonjwa anavyojisikia na dalili nikachoka sana, maana kazi yake ni ulinzi sio udaktari.
Tupe kituko ulichowahi kukutana nacho
Ofisini kwao ndio hapo ulipowakuta,elimu haina mipaka,niwapongeze hao madaktari wako makiniKwanini wasiwe wanapiga msuli ofisini na kisha wanakuja kuhudumia na cha kusikitisha ni hospitali ya rufaa tunayoamini ni wabobezi.
Tena wapo makini haswa coz hawataki kufanya maamuzi bila ya kuwa sure na ugonjwa husika. Tunafundishwa kuepuka kutoa tiba bila ya kuwa na uhakika lakini pia sio dhambi kufanya reference or asking for assistance when needed.Ofisini kwao ndio hapo ulipowakuta,elimu haina mipaka,niwapongeze hao madaktari wako makini
Hiyo paragraph ya mwisho, mfano wew ulitaka uandikiwe Vipimo gani? Tofauti na hivyo.wengi hawakuelewi ila ukweli kwamba ukiwa unamueleza dokta ugonjwa akaanza kuperuzi mtandaoni ile moral ya kumuamini inapungua sana
Nilishaenda hospital moja foleni ilikua kali sana kumbe dokta kila ugonjwa anapekua kwenye makaratasi yao(likitabu kubwa). Ukishapima ukarudisha majibu inamchukua robo saa anapekua jina la dawa za ugonjwa uliokutwa nao. Na hataki maswali zaidi kuhusu ugonjwa husika
Mwingine ukifika tu ukataja dalili kuwa kichwa na tumbo basi utaandikiwa vipimo malaria,mkojo,choo kubwa
Mgonjwa anaona kabisa hapa hakuna daktari na kuanza kukata tamaa ya kuishi.wengi hawakuelewi ila ukweli kwamba ukiwa unamueleza dokta ugonjwa akaanza kuperuzi mtandaoni ile moral ya kumuamini inapungua sana
Nilishaenda hospital moja foleni ilikua kali sana kumbe dokta kila ugonjwa anapekua kwenye makaratasi yao(likitabu kubwa). Ukishapima ukarudisha majibu inamchukua robo saa anapekua jina la dawa za ugonjwa uliokutwa nao. Na hataki maswali zaidi kuhusu ugonjwa husika
Mwingine ukifika tu ukataja dalili kuwa kichwa na tumbo basi utaandikiwa vipimo malaria,mkojo,choo kubwa
Vipi tuchukulie mfano kifaa ulichonunua kwa mamilioni unaenda kwa mtu nayejiita fundi mbobezi na ukaona anaanza kupekua mtandaoni ili atengeneze tena anauliza uliza wenzie vipi utakuwa na imani naye,je hiyo si inamaanisha tatizo ndo anaanza kuliona hapo kwa mara ya kwanza?.Kama Kufanya reference ya signs and symptoms mtandaoni unaona kuwa ni kituko basi na wewe ukiwa unaumwa au una mgonjwa just ingia youtube usome umtibu usimpeleke kwa hao wanaofanya what u say ni "vituko"
Medical field ni pana na ambayo inakuwa na updates kila siku. As a professional doctor huwez kurely only na ulichosoma chuoni lakini pia due to its diversity and broadness, u just cant remember or be sure of everything,..at some point u will have to make a reference ili kutoa tiba sahihi kwa mgonjwa.
Usione haya kuuliza au kujifunza ,thats how we learnVipi tuchukulie mfano kifaa ulichonunua kwa mamilioni unaenda kwa mtu nayejiita fundi mbobezi na ukaona anaanza kupekua mtandaoni ili atengeneze tena anauliza uliza wenzie vipi utakuwa na imani naye,je hiyo si inamaanisha tatizo ndo anaanza kuliona hapo kwa mara ya kwanza?.
Jamaa haelewi umuhimu wa internetTena wapo makini haswa coz hawataki kufanya maamuzi bila ya kuwa sure na ugonjwa husika. Tunafundishwa kuepuka kutoa tiba bila ya kuwa na uhakika lakini pia sio dhambi kufanya reference or asking for assistance when needed.
ofisini anakuwa na mgonjwa? kuna vitu lazima ajikumbushe tuu ... kuna site kama mayo n.k watu wana publish kila leo .Kwanini wasiwe wanapiga msuli ofisini na kisha wanakuja kuhudumia na cha kusikitisha ni hospitali ya rufaa tunayoamini ni wabobezi.
Nadhani ameelewa sasaofisini anakuwa na mgonjwa? kuna vitu lazima ajikumbushe tuu ... kuna site kama mayo n.k watu wana publish kila leo .
medicine haiko stagnant .. condition ziko nyingi ,, worse enough condition zingine zinaibuka ambazo Dr huyu hajawahi kuzisoma akiwa shule. eg covid19.
Dr mzuri ni yule anayefanya refference na kujisomea kila inapobidi kufanya hivyo.
Asee hao jamaa rudi kawapongeze hawakutaka kubahatisha.
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Hiyo inamaanisha inakuwa ugonjwa wa aina hiyo ni mara ya kwanza kwake mpa aanze kupiga kitabu mbele ya mgonjwa.Usione haya kuuliza au kujifunza ,thats how we learn
Usimpeleke mgonjwa wako huko hospitali .. na wewe ingia you tube upitie kisha mpe dawa.Vipi tuchukulie mfano kifaa ulichonunua kwa mamilioni unaenda kwa mtu nayejiita fundi mbobezi na ukaona anaanza kupekua mtandaoni ili atengeneze tena anauliza uliza wenzie vipi utakuwa na imani naye,je hiyo si inamaanisha tatizo ndo anaanza kuliona hapo kwa mara ya kwanza?.
Huyo hajui chochote achana nayeKuna tatizo gani daktari kupata maarifa kwenye mtandao? Medicine haina mwisho, mambo hubadilika kila siku so kujifunza sio jambo baya. Pia kuna kesi hukutani nazo mara kwa mara kwahiyo kuna vitu kujikumbusha sio mbaya.
Usiku mwema naona hutaki tu kuelewa kitu kidogo kama hichoHiyo inamaanisha inakuwa ugonjwa wa aina hiyo ni mara ya kwanza kwake mpa aanze kupiga kitabu mbele ya mgonjwa.
Siwezi wapongeza maana wanakuwa kama ndio mara yao ya kwanza kuuona huo ugonjwa,ni kama ugonjwa mpya kitu ambacho sio kweli.ofisini anakuwa na mgonjwa? kuna vitu lazima ajikumbushe tuu ... kuna site kama mayo n.k watu wana publish kila leo .
medicine haiko stagnant .. condition ziko nyingi ,, worse enough condition zingine zinaibuka ambazo Dr huyu hajawahi kuzisoma akiwa shule. eg covid19.
Dr mzuri ni yule anayefanya refference na kujisomea kila inapobidi kufanya hivyo.
Asee hao jamaa rudi kawapongeze hawakutaka kubahatisha.