Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,411
- 3,712
- Thread starter
- #41
Asante sanaUsiku mwema naona hutaki tu kuelewa kitu kidogo kama hicho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sanaUsiku mwema naona hutaki tu kuelewa kitu kidogo kama hicho
Kweli kabisa, wenye shule zao huwezi ona hizo mambo.Madaktari wa mchongo wanateteana.
Hawa ndio walikuwa wazee wa formation na Bata. Bure kabisa.
Kama kugoogle hata mimi najua. Hakuna haja ya kuwa na madaktari ikiwa tunagoogle ili kufanya diagnosis na kutibu.
Everything is on internet
Nliwai patwa na food poison kisha nkaenda zahanati moja kinondoni pale kama saa nne usiku. Dokta aliniuliza jina na nnapokaa kisha akaniandikia mpk dawa bila kuniuliza naumwa nini kumbe alikua amelewa. Kdg nimchape vibaowengi hawakuelewi ila ukweli kwamba ukiwa unamueleza dokta ugonjwa akaanza kuperuzi mtandaoni ile moral ya kumuamini inapungua sana
Nilishaenda hospital moja foleni ilikua kali sana kumbe dokta kila ugonjwa anapekua kwenye makaratasi yao(likitabu kubwa). Ukishapima ukarudisha majibu inamchukua robo saa anapekua jina la dawa za ugonjwa uliokutwa nao. Na hataki maswali zaidi kuhusu ugonjwa husika
Mwingine ukifika tu ukataja dalili kuwa kichwa na tumbo basi utaandikiwa vipimo malaria,mkojo,choo kubwa
Nliwai patwa na food poison kisha nkaenda zahanati moja kinondoni pale kama saa nne usiku. Dokta aliniuliza jina na nnapokaa kisha akaniandikia mpk dawa bila kuniuliza naumwa nini kumbe alikua amelewa. Kdg nimchape vibao
Daa! inasikitisha sanaTulisubiri kama 5 days kupatiwa huduma ya x- ray nikampeleka my late mama akapige x ray ya kifua matokeo yake walipiga ya mguu na kutoa majibu hivyo tulisubiri foleni Tena though haikuchukua muda kama awali.
Kaka kuwa muelewa basi magonjwa yanabadirika badirika, na kuna mengine ni mapya kabisa, mfano daktari aliehitimu 2018 hakufundishwa chochote juu ya ugonjwa wa Corona hili ni gonjwa jipya vipi kuhusu Ebora, Dar umewahi kutokea ugojwa wa homa ya Dengue hujasikia kuwa Mtwara kuna ugojwa umeibuka watu wanatokwa na damu puani na masikion kisha wanapoteza maishaUnaanza kusoma mbele ya mgonjwa kwani huna muda mwingine wa kusoma,kama sio ukilaza ninini?