Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,411
- 3,712
Kwahiyo wanajifunzia mbele ya mgonjwa,wako serious kweli,maarifa wanaweza pata kwa kusoma wakiwa off.Acheni watu wafanye kazi ,mnajua ni kiasi Gani hao wataalamu wanapata secondary Trauma kutokana na Shida zenu ?
Maarifa hatukatai hayana mwisho lakini kusoma mbele ya mgonjwa kunamkosesha mgonjwa matumaini ya kupona kwasababu anakuwa anajua ameletewa wanafunzi wajifunzie kwake.Kuna tatizo gani daktari kupata maarifa kwenye mtandao? Medicine haina mwisho, mambo hubadilika kila siku so kujifunza sio jambo baya. Pia kuna kesi hukutani nazo mara kwa mara kwahiyo kuna vitu kujikumbusha sio mbaya.
Umenikumbusha kitambo hicho vijijini ilikuwa noma sana,mwanamke aone kalio,hahaha noma sana.Niliwai enda hospital moja miaka iyo sisi wa darasa la saba vijijini hatujawai ijua hospital. Yule nesi akasema aya vua iyo suruali tukuchome sindano. Ilinishangaza sana mwanamke kutaka kuona matako ya mwanaume.
We kwa akili yako fupi unafikiri kuwa daktari haruhusiwi kusoma kwenye Internet hapo anaoongeza maarifa wala hamna ubaya wowote- Katika hospitali ya rufaa kabisa, madaktari waliokuwa zamu walikuwa wanasoma dalili za ugonjwa kwenye internet na YouTube, nilichoka sana lakini kwa bahati mgonjwa wetu alipona tulipewa daktari ambaye alikuwa ni professional zaidi. Lakini yule mgonjwa waliyekuwa wanamsomea sidhani kama alipona.
- Kituko cha pili,tulimpeleka mgonjwa kituo cha afya, badala ya kupokewa mapokezi tukapokewa na mlinzi, mlinzi akataka kumueleze namna mgonjwa anavyojisikia na dalili nikachoka sana, maana kazi yake ni ulinzi sio udaktari.
Tupe kituko ulichowahi kukutana nacho
Unaanza kusoma mbele ya mgonjwa kwani huna muda mwingine wa kusoma,kama sio ukilaza ninini?We kwa akili yako fupi unafikiri kuwa daktari haruhusiwi kusoma kwenye Internet hapo anaoongeza maarifa wala hamna ubaya wowote
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hatukatai kusoma kwenye internet lakini muda wa huduma sio wa kusoma ni muda wa kuhudumia mgonjwa,na ikiwezekana tafuta muda kusoma,kusoma mbele ya mgonjwa ni kama wale mafundi simu wa kariakoo anasema anajua kutengeneza halafu unamwona kainama anacheki namna ya kuitengeneza YouTube,inashusha imani ya uwezo wako.Swala la kusoma kweny internet sio vimbwanga kama haupo kweny kazi basi tambua watu wote wanatoa vitu kweny internet hata kama hujui izo hotuba unakuta Kuna vitu vinatolewa kwa hotuba nyingine kweny mitandao na kufanyiwa edit kama hata research wanakubli basi Haina shida
Kimbwanga ni icho tukienda mochwari bombo Tanga tukamkuta mzee mfupi anaongea mwenyewe ni mlinzi sijui muhudumu kavaa mabuti Yale plastic kama watu wa kulisha ng'ombe au kaktia majanii ,watu wa idara maji wanayo ya kijani wa pale tukaingia nae mpaka ndani uncle kasema aliteta maiti ya mzee fulani na anajua iliwekwa kabati kama la tatu row ya pili kulikuwa na row kama tatu basi yule mzee ni mbishi anatufunulia maiti za waizi wamekufa vibaya we acha tu nilitokea nikamwacha uncle nusu tu wakorofishane maana uncle anavuta bangi hapedi ujinga
Ooh🤨- Katika hospitali ya rufaa kabisa, madaktari waliokuwa zamu walikuwa wanasoma dalili za ugonjwa kwenye internet na YouTube, nilichoka sana lakini kwa bahati mgonjwa wetu alipona tulipewa daktari ambaye alikuwa ni professional zaidi. Lakini yule mgonjwa waliyekuwa wanamsomea sidhani kama alipona.
- Kituko cha pili,tulimpeleka mgonjwa kituo cha afya, badala ya kupokewa mapokezi tukapokewa na mlinzi, mlinzi akataka kumueleze namna mgonjwa anavyojisikia na dalili nikachoka sana, maana kazi yake ni ulinzi sio udaktari.
Tupe kituko ulichowahi kukutana nacho
Wakiwa katika harakati za kuokoa maisha ya mgonjwa huwa wanafanya kila mbinu. Ulitaka wamuache mgonjwa waende ofisini wakasome?Kwahiyo wanajifunzia mbele ya mgonjwa,wako serious kweli,maarifa wanaweza pata kwa kusoma wakiwa off.
Wagonjwa wasome na madaktari wasome mbele yetu, mbona majanga?!!Unaanza kusoma mbele ya mgonjwa kwani huna muda mwingine wa kusoma,kama sio ukilaza ninini?
Lakini mgonjwa anakosa imani kwa wanaomhudumia,anaona hapa lazima nife tu.Wakiwa katika harakati za kuokoa maisha ya mgonjwa huwa wanafanya kila mbinu. Ulitaka wamuache mgonjwa waende ofisini wakasome?