Eleza vimbwanga ulivyowahi kukutana navyo hospitali, vituo vya afya na zahanati

Madaktari wa mchongo wanateteana.
Hawa ndio walikuwa wazee wa formation na Bata. Bure kabisa.

Kama kugoogle hata mimi najua. Hakuna haja ya kuwa na madaktari ikiwa tunagoogle ili kufanya diagnosis na kutibu.
Everything is on internet
 
Kweli kabisa, wenye shule zao huwezi ona hizo mambo.
 
Nliwai patwa na food poison kisha nkaenda zahanati moja kinondoni pale kama saa nne usiku. Dokta aliniuliza jina na nnapokaa kisha akaniandikia mpk dawa bila kuniuliza naumwa nini kumbe alikua amelewa. Kdg nimchape vibao
 
Nilimpeleka mtoto dispensary hizi za private mtoto alikuwa anaumwa macho nikapokelewa na receptionist akawa ananiuliza kuhusu hali ya mtoto akaniandikia ampicillin nilichoka!
 
Tulisubiri kama 5 days kupatiwa huduma ya x- ray nikampeleka my late mama akapige x ray ya kifua matokeo yake walipiga ya mguu na kutoa majibu hivyo tulisubiri foleni Tena though haikuchukua muda kama awali.
 
Aiseeee hatari sana. Pole mkuu
Nliwai patwa na food poison kisha nkaenda zahanati moja kinondoni pale kama saa nne usiku. Dokta aliniuliza jina na nnapokaa kisha akaniandikia mpk dawa bila kuniuliza naumwa nini kumbe alikua amelewa. Kdg nimchape vibao
 
Tulisubiri kama 5 days kupatiwa huduma ya x- ray nikampeleka my late mama akapige x ray ya kifua matokeo yake walipiga ya mguu na kutoa majibu hivyo tulisubiri foleni Tena though haikuchukua muda kama awali.
Daa! inasikitisha sana
 
Unaanza kusoma mbele ya mgonjwa kwani huna muda mwingine wa kusoma,kama sio ukilaza ninini?
Kaka kuwa muelewa basi magonjwa yanabadirika badirika, na kuna mengine ni mapya kabisa, mfano daktari aliehitimu 2018 hakufundishwa chochote juu ya ugonjwa wa Corona hili ni gonjwa jipya vipi kuhusu Ebora, Dar umewahi kutokea ugojwa wa homa ya Dengue hujasikia kuwa Mtwara kuna ugojwa umeibuka watu wanatokwa na damu puani na masikion kisha wanapoteza maisha

Wahudum wa afya ni lazima kujiendeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…