Eli ya paasaka wakiliitu wote

Biti mkongwe nilete mahari nikuoe basi. Toto la kiarabu wewe.
Yakhe mimi siwezi kuweka ndoo ya maji kichwani, kulima siwezi wala kupika ugali sasa si utakuja kunisema humu kwenye mtandao? Naogopa nikienda ukweni nitatimuliwa siku hiyo ya kwanza tu.

Babu yangu niliye naye yeye hana shida ugali anajipikia mwenyewe.
 
Kama hamuwezani njoo kwangu,nitashindia msuli muda wote,swala tano, siendi bar,nacheza bao muda wote,utabaki Kama pambo ndani,ni kunizalia tu hahah
 
Pole naona mafua ya nakusumbua sana.
 
Na wewe ni Dr yupi tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…