Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Mkuu awanu hii Magu atakuwa makini, malalamiko ya kupendelea wapinzani ni makubwa mno ndani ya ccm, lazima apunguze na kuheshimu kura za maoni.
Kwa kura za maoni mpinzani kupita ni wachache mno
huyu alikua mbunge wa upinzani kabla ya kununuliwa??
tuanzie hapo kwanza.
basi mfano wa Mwita na Mtolea ufute hapo.Hakuwa mbunge.
basi mfano wa Mwita na Mtolea ufute hapo.
Utopolo wahed wewe,HAUTOBOI Kabisa!!
Dah, afadhali umemjibu vyemaUtopolo wahed wewe,HAUTOBOI Kabisa!!
Ha ha ha, mkuu anapenda wale malegendary wa chama kama kina mnyika etc, bt chalii kama hyu hawezi kuonekana kamwe, na bahat mbaya waliokaribu na bwmdogo pia wanalitaka tonge.Mkuu kwa nini unasema yeye ni kidagaa?
Unasahau kama aliwahenyesha hawa hawa CCM akiwa CDM? Na kama unavyojua kawaida ya Mkulu wetu, anapenda wapinzani sana.
Huwezi jua.
Ha ha ha, mkuu anapenda wale malegendary wa chama kama kina mnyika etc, bt chalii kama hyu hawezi kuonekana kamwe, na bahat mbaya waliokaribu na bwmdogo pia wanalitaka tonge.
We dogo msaliti Nani atakuchagua,
[emoji23][emoji1787][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji28]
Wee kajamaa ww, utakula upumbavu wako...huwezi kuteuliwa hata iweje...yaan wee ni pimbi hatar...