Uchaguzi 2020 Elia Michael: Nimejaza na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge Jimbo la Buyungu

Uchaguzi 2020 Elia Michael: Nimejaza na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge Jimbo la Buyungu

Mkuu awanu hii Magu atakuwa makini, malalamiko ya kupendelea wapinzani ni makubwa mno ndani ya ccm, lazima apunguze na kuheshimu kura za maoni.
Kwa kura za maoni mpinzani kupita ni wachache mno

Hapo sawa, kama hiyo itakuwa namna hiyo naweza kuelewa pia.
 
Huyu dogo akishinda ubunge ubunge kwa njia halali nabadili uraia.
 
Mkuu kwa nini unasema yeye ni kidagaa?

Unasahau kama aliwahenyesha hawa hawa CCM akiwa CDM? Na kama unavyojua kawaida ya Mkulu wetu, anapenda wapinzani sana.

Huwezi jua.
Ha ha ha, mkuu anapenda wale malegendary wa chama kama kina mnyika etc, bt chalii kama hyu hawezi kuonekana kamwe, na bahat mbaya waliokaribu na bwmdogo pia wanalitaka tonge.
 
Back
Top Bottom