Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Mpaka sasa waliotoboa ni Mwita na Mollel tu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasubiri ukatibu wa uvccmBasi tena, maana siasa za CCM zinahitaji mtaji wa kutosha.
Kupitia upinzani unaweza kupenya bila kutumia pesa, ila CCM hakuna hiyo.
Awe mpole tu.
afisa mtendaji hicho cheo ulichohongwa hakijakutosha?
Amuulize mzee wa degree 4, alikuwa anaangalia kura za wenzie anatamani anyakue akimbie nazo!! Hakuamini kilicho mkuta.Hata yeye angeruhusu ushindani kwenye nafasi ya uraisi asingeamini ambacho angekiona lazima meza ingepinduliwa.
Kalikuwa kadiwani tu aka mkuu.huyu alikua mbunge wa upinzani kabla ya kununuliwa??
tuanzie hapo kwanza.
Nilikwambia hushindi
Na kale ka cheo ulichopewa wakati ulipokimbilia huko ndo kameishia hapo??
Hahahaha nimefurahi sanaNilikwambia hushindi
Akalime mawese hukoHahahaha nimefurahi sana
Labda kakauze bange, Mawese hakana mtaji! Shenzy Mungu amenilipia, tulikachangia sana aiseeee kipindi, niliongoza kampeni ya kumchangia kwenye kampeni kipindi kile, nilivyosikia amehama nilighadhibika mnoAkalime mawese huko
Kaambulia kura 13 tu!Matokeo yameendaje kwa huyu mjuba?
Hapo ndio ajue kabisa kwamba bila CHADEMA hana ukubwa wowote!Zinamtosha sana hizo.
Awe mpole tu.
Tuwekee picha hata moja tu ya mwanamke aliyeachwa anayelilia ndoaKatika maisha ogopa Sana kuipoteza cv na heshima yako kwa Jamii.Linda Sana ulichonacho utajua thamani yake kikishaondoka.
Mfano wanawake wanalilia ndoa Mungu anawapa ndoa wakishazipata wanaanza zivuruga ndoa,wanajiinua kiburi, dharau nk ndoa inakufa then unawakuta wanalia makanisani,au kupeleka kuku kulisha familia za waganga Hali wao wanashinda njaa.Umelilia kazi miaka umeipata unaanza kuchezea kazi,
Kwa herufi kubwa.
LINDA SANA ULICHONACHO SASA
Kapigwa tayariUnaweza kuona kama anachekesha, ila siasa za bongo wote ni wamoja tu.
Si ajabu akashinda ubunge.
Amesha adhibiwa, CCM ina wenyew bhanaDogo umenifanya niwe na roho mbaya! Basi tu sitakaa nikusamehe!
Na yule wa ukerewe sijui kule ktk kisiwa cha ukala, Joseph nkundaMpaka sasa waliotoboa ni Mwita na Mollel tu!!
Sijui ,vipi ametoboa au kaangukia Pua?Na yule wa ukerewe sijui kule ktk kisiwa cha ukala, Joseph nkunda