Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mfano mzuri ni wewe na hatuna hata haja ya picha yako.Tuwekee picha hata moja tu ya mwanamke aliyeachwa anayelilia ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano mzuri ni wewe na hatuna hata haja ya picha yako.Tuwekee picha hata moja tu ya mwanamke aliyeachwa anayelilia ndoa
Kaanguka vibaya sanaSijui ,vipi ametoboa au kaangukia Pua?
Safi ndio dawa yao hao wasaliti.Kaanguka vibaya sana
Funga hilo domo,au unameza nzi mana unaonekana unanjaa kali
13Kapata kura hata 30 hazifiki
[SUP]Kalifikri kuwa katakusanya mafuriko kama enzi kako CHADEMA![/SUP]
Labda kakauze bange, Mawese hakana mtaji! Shenzy Mungu amenilipia, tulikachangia sana aiseeee kipindi, niliongoza kampeni ya kumchangia kwenye kampeni kipindi kile, nilivyosikia amehama nilighadhibika mno
*WAHAMIAJI HARAMU.*Waliosaliti majasho na pesa za waliowaunga mkono wooote wamelipwa laana na aibu.. Hivi vijamaa vinawenge LA maisha.
*WAHAMIAJI HARAMU.*
1) Maulid Mtulia [emoji1009]
2) Abdallah Mtolea [emoji1009]
3) Peter Lijualikali [emoji1009]
4) David Silinde [emoji1009]
5) Joshua Nassari [emoji1009]
6) Patrobas Katambi [emoji1009]
7) Paulina Gekul [emoji1009]
8) Kalist Lazaro [emoji1009]
9) Albert Msando [emoji1009]
10) Elia Michael [emoji1009]️
11) Kalanga [emoji1009]
12) Mashinji [emoji1009]
14) Mwambe [emoji1009]
15) Marwa Ryoba[emoji1009]
Hahahaha wanawaona kama vibwengo, halafu sasa hivi wamekua visiraniwake zao wana waonaje wanaume wa sampuli hizi!!
Hahahaha wanawaona kama vibwengo, halafu sasa hivi wamekua visirani
KatoboaSijui ,vipi ametoboa au kaangukia Pua?
So inamaana huu mwezi posho yako ya utendaji kata sijui wakijiji hautalipwa?CCM inawenyewe mwamba ulikuwa na muelekeo mzuri na backup kubwa tamaa ikaharibu maisha yako kijana
Na mshahara wa mwezi huu hapatiElia Michael nadhani sasa umeshika adabu na kuijua CCM ni nini na jinsi gani inavyo kuthamini.
Mbwembwe za kukupokea hazikuwa za kukupenda bali kuwaumiza ulikotoka tuu basi, kisha wewe kuwa takataka.
Kafulila*WAHAMIAJI HARAMU.*
1) Maulid Mtulia 🛠
2) Abdallah Mtolea 🛠
3) Peter Lijualikali 🛠
4) David Silinde 🛠
5) Joshua Nassari 🛠
6) Patrobas Katambi 🛠
7) Paulina Gekul 🛠
8) Kalist Lazaro 🛠
9) Albert Msando 🛠
10) Elia Michael 🛠
11) Kalanga 🛠
12) Mashinji 🛠
14) Mwambe 🛠
15) Marwa Ryoba🛠
Hahaahaaa dah ukute kashonewa na chuoi pia za kitambaa kile kile kilichobakiDogo nenda katika kituo chako cha kazi uendellee na kazi uafisa mtendaji kata na suti zako zile zina zenye kitambaa kigumu kama turubai
Sio kila vitu vina alamaTuwekee picha hata moja tu ya mwanamke aliyeachwa anayelilia ndoa