Uyu mpanzu namuona ni mchezaji machachari na sio Bora,,namuona anapenda kucheza Mpira wa sifa badala ya team work!
Anajaribu kuutafuta ufalme wake kwa nguvu matokeo yake anaharibu,,Kila Mpira anaougusa ata kama ayuko kwenye nafasi nzuri ya kufunga yeye anataka kupiga golini ili aendelee kuimbwa akifunga!
Ninamuona anacheza sana na majukwaa tunampa tahadhali aache hizo mambo atapotea muda si mrefu kama mwenzake Joshua mutale!
Ngoja tumuangalie mechi nyingine 5 tutayapata majibu ya ubora wake lakini mpaka sasa ni mchezaji anayecheza sana na majukwaa,,mpenda sifa kitu ambacho kitamgharimu!