Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jukwaa linacheza na Mpanzu(kushangilia bila sababu msingi)au Mpanzu ndiye anacheza nalo?Acha kumsingizia.Halafu,furaha ya mpira ni nini kwani?Acha kukasirika kwa mambo madogoadogo.Uyu mpanzu namuona ni mchezaji machachari na sio Bora,,namuona anapenda kucheza Mpira wa sifa badala ya team work!
Anajaribu kuutafuta ufalme wake kwa nguvu matokeo yake anaharibu,,Kila Mpira anaougusa ata kama ayuko kwenye nafasi nzuri ya kufunga yeye anataka kupiga golini ili aendelee kuimbwa akifunga!
Ninamuona anacheza sana na majukwaa tunampa tahadhali aache hizo mambo atapotea muda si mrefu kama mwenzake Joshua mutale!
Ngoja tumuangalie mechi nyingine 5 tutayapata majibu ya ubora wake lakini mpaka sasa ni mchezaji anayecheza sana na majukwaa,,mpenda sifa kitu ambacho kitamgharimu!
Mmoja hana match fitness amekaa nje ya uwanja due to taratibu za usajili. Itqchukua muda, aziz ki ilimchukua almost msimu kuja kushika motoAzizi ki class yake unamlinganisha na uyo mpanzu wenu,,kumbuka class aishuki bali form ndio inayoshuka,,acha kuwalinganisha maana utakuwa unajivua nguo tu