Nani karuhusu vichaa kama nye kutoa maoni humu?Uyu mpanzu namuona ni mchezaji machachari na sio Bora,,namuona anapenda kucheza Mpira wa sifa badala ya team work!
Anajaribu kuutafuta ufalme wake kwa nguvu matokeo yake anaharibu,,Kila Mpira anaougusa ata kama ayuko kwenye nafasi nzuri ya kufunga yeye anataka kupiga golini ili aendelee kuimbwa akifunga!
Ninamuona anacheza sana na majukwaa tunampa tahadhali aache hizo mambo atapotea muda si mrefu kama mwenzake Joshua mutale!
Ngoja tumuangalie mechi nyingine 5 tutayapata majibu ya ubora wake lakini mpaka sasa ni mchezaji anayecheza sana na majukwaa,,mpenda sifa kitu ambacho kitamgharimu!
Azizi ki class yake unamlinganisha na uyo mpanzu wenu,,kumbuka class aishuki bali form ndio inayoshuka,,acha kuwalinganisha maana utakuwa unajivua nguo tuVipi Ki Azizi anacheza na Benchi au Jukwaa
Ni mangungu ndio karuhusuNani karuhusu vichaa kama nye kutoa maoni humu?
Punguza mhemkoUyu mpanzu namuona ni mchezaji machachari na sio Bora,,namuona anapenda kucheza Mpira wa sifa badala ya team work!
Anajaribu kuutafuta ufalme wake kwa nguvu matokeo yake anaharibu,,Kila Mpira anaougusa ata kama ayuko kwenye nafasi nzuri ya kufunga yeye anataka kupiga golini ili aendelee kuimbwa akifunga!
Ninamuona anacheza sana na majukwaa tunampa tahadhali aache hizo mambo atapotea muda si mrefu kama mwenzake Joshua mutale!
Ngoja tumuangalie mechi nyingine 5 tutayapata majibu ya ubora wake lakini mpaka sasa ni mchezaji anayecheza sana na majukwaa,,mpenda sifa kitu ambacho kitamgharimu!
Tunapokea maoni ya Kikwete na Sunday Manara tuNi mangungu ndio karuhusu
Sio maoni ya Rage na kaduguda?Tunapokea maoni ya Kikwete na Sunday Manara tu
Hayo pokeeni nye msio na akiliSio maoni ya Rage na kaduguda?
🤣🤣🤣 Mi sijui Nani😇😇Nani karuhusu vichaa kama nye kutoa maoni humu?
Aziz Ki hata akiondoka leo kaacha rekodi nzuri tu kwa nafasi anayocheza na mafanikio aliyopata.Vipi Ki Azizi anacheza na Benchi au Jukwaa
una uhakina unacho KINENAAzizi ki class yake unamlinganisha na uyo mpanzu wenu,,kumbuka class aishuki bali form ndio inayoshuka,,acha kuwalinganisha maana utakuwa unajivua nguo tu