Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 111
- 223
Kazi ipi kafanya vzr?Goli litakuja tu kikubwa anafanya kazi yetu vzr
Kwa hiyo ww ubora wa mtu uko kwny magoli? Mpanzu ni mtu wwKazi ipi kafanya vzr?
Jana alikuwa anarukaruka tu kama maharage jikoni,,walivyokuwa wanamuimba utadhani ni bonge la mchezaji kumbe ni kibu Denis aliyechangamka,,Mpaka sasa hana goli ila mashabiki watasema anacheza vizuri, kwa sisi tunaojua mpira hadi useme amecheza vzr tunarudi kwenye numbers zake ana assist ngapi ana pre-assist ngapi awe mtu wa tatu kuusika kabla ya goli?.
Mpanzu ni machachari sio hatari ana work rate kubwa tu kama Kibu wanakupa nishati ya kutosha kwenye third party ya mpinzani ila kwenye kumi na nane ndani ya box sio mbunifu, sio mtulivu hana target Bora.
Mpanzu ni overrated
Dube hakufunga ila utulivu wake unauona ana assistMbona Dube alicheza mechi 20 bila goli na haukumuita Yikpe?
Jifunze kutofautisha hatari na machachariMPANZU ni hatari sana akiwa na mpira huwezi kufananisha na kichaa kama DUBE
Alitoa assist ya kwanza baada ya mechi ngapi?Dube hakufunga ila utulivu wake unauona ana assist
Mbona hana tofauti yoyote na wewe au umejisahàuMbongo mpe picha tu caption ataweka yeye. Huyu kuangalia tu Mpanzu hajafunga baaaasi kwake inatosha kutunga stori. Hata mechi za Simba sijui kama anaangalia