Elias Mpanzu ni Kibu Denis aliyechangamka

Mende mdudu

Senior Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
111
Reaction score
223
Mpaka sasa hana goli ila mashabiki watasema anacheza vizuri, kwa sisi tunaojua mpira hadi useme amecheza vzr tunarudi kwenye numbers zake ana assist ngapi ana pre-assist ngapi awe mtu wa tatu kuusika kabla ya goli?.

Mpanzu ni machachari sio hatari ana work rate kubwa tu kama Kibu wanakupa nishati ya kutosha kwenye third party ya mpinzani ila kwenye kumi na nane ndani ya box sio mbunifu, sio mtulivu hana target Bora.

Mpanzu ni overrated
 
Jana alikuwa anarukaruka tu kama maharage jikoni,,walivyokuwa wanamuimba utadhani ni bonge la mchezaji kumbe ni kibu Denis aliyechangamka,,
 
Mbongo mpe picha tu caption ataweka yeye. Huyu kuangalia tu Mpanzu hajafunga baaaasi kwake inatosha kutunga stori. Hata mechi za Simba sijui kama anaangalia
 
Back
Top Bottom