Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
hivi ni mkataba au makubaliano?.
GPA ya juu kutoka UDIZIM, CBE, IFM na MZUMBE... hahahaha.
Tatizo ni CCM.
GPA ya juu kutoka UDIZIM, CBE, IFM na MZUMBE... hahahaha.
Tatizo ni CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hio hana akiliHuyu mjinga angekuwa na akili angepeleka maendeleo Singida kwao
Ya kupitisha mkataba wa DPWGPA ya juu Sana
Ni lini uliwahi kumsikia punguani akisema kuwa mimi mwenzenu sina akili ya kutosha? Tena wendawazimu huwa wanajiona wana akili kuliko walio wazima.Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa
Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale Bungeni kuna wabunge wa CCM wako vizuri kichwani, mimi mwenyewe nimemaliza chuo Mzumbe wakaning'ang'ania nibaki kufundisha pale kwa sababu nina akili nyingi, nilipata GPA ya juu sana, kwa hiyo hatukupitisha mkataba bila kuusoma, na tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu.
Pia soma - Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World
Wamembebea nini huyo muarabu?Mbona awali walitumia nguvu nyingi sana kujitetea ule waliopitisha haukuwa mkataba bali aridhio tu la makubaliano?
Kumbe ni kweli walichopitisha ni mkataba!
hivi ni mkataba au makubaliano?.
GPA ya juu kutoka UDIZIM, CBE, IFM na MZUMBE... hahahaha.
Tatizo ni CCM.
Mtu asome Bachelor of Arts in Political Science then afundishe sheria? Ulihadithiwa ama😀😀Jokate aling'ang'aniwa afundishe Sheria UDSM sasa Wewe unaleta ubishoo wa Institute
😂😂😂 Kawaida sana nyakati hiziMtu asome Bachelor of Arts in Political Science then afundishe sheria? Ulihadithiwa ama😀😀
Atakwambia ya 12GPA ya juu sana ya ngapi?Halafu Mzumbe chuo cha kata hicho.
Ni kawaida watu wasio na akili kujidaii wako juu kiakili.GPA ya juu sana ya ngapi?Halafu Mzumbe chuo cha kata hicho.
Anamzidi pesa Msukuma?