Elibariki Kingu: Wabunge wa CCM tuko vizuri kichwani, tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu

Elibariki Kingu: Wabunge wa CCM tuko vizuri kichwani, tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu

Wabunge wote wa ccm ni wajinga mbumbumbu na wapumbavu.
 
"Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani,pale Bungeni kuna wabunge wa CCM wako vizuri kichwani,mimi mwenyewe nimemaliza chuo mzumbe wakaning'ang'ania nibaki kufundisha pale kwa sababu nina akili nyingi, nilipata GPA ya juu sana, kwa hiyo hatukupitisha mkataba bila kuusoma, na tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu" Mbunge wa jimbo Singida Magharibi"

View attachment 2685296

Toa Maoni yako

Hakuna mtu mwenye akili nchi hii Kama Chenge, personal experience, ila utashi wake, kitu kingine.

Uitaji CPA au Udaktari kujua kwamba 1x3 maana yake ni namna ya kutumia dawa kutwa.

Elimu kwenye mambo yaliyo wazi kusoma kirahisi haina maana yeyote ya kujivuna, rubbish
 
Hakuwahi kuwa na akili huyu!
PhD za kujikomba na uchawa nasikia.
Hakuna mtu mwenye akili nchi hii Kama Chenge, personal experience, ila utashi wake, kitu kingine.

Uitaji CPA au Udaktari kujua kwamba 1x3 maana yake ni namna ya kutumia dawa kutwa.

Elimu kwenye mambo yaliyo wazi kusoma kirahisi haina maana yeyote ya kujivuna, rubbish
Sawasawa 👍
 
Angekuwa na akili asingesema wamepitisha mkataba angesema wamepitisha Makubaliano... kwangu mimi hata siendelei kumjadili huyu keshaonesha upumbavu na muongo...
 
Back
Top Bottom