Tetesi: Elie Mpanzu kutua Yanga kabla ya Weekend hii

Sijui kwa nini Musonda mnamchukulia poa. Ni mmoja wa wachezaji ninaowakubali pale utopoloni
Mchukueni Makolokolo atawafaa zaidi, msitupangie wababe wenu "Yanga SC"

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
H
Musonda mkataba wake unaisha Dec kwahiyo Uto wakitaka, hawawezi kushindwa kuvunja mkataba uliobaki miezi 4, hata kama kwa mkopo kama ilivyo kawaida yao. Hawa Umbwa wapo serious wakati wengine tumebaki na porojo tu!
Hapana ninyi umbwa Makolokolo ndiyo mupo serious, huoni usajili wa bonge la striker toka Mamelodi Sundowns 2024 kimya kimya?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Muamala tayari, 10000 wakala makaveli
🤣😂
 
Hivi nyie yanga mnataka nini jamani yani mmetoka kutupiga halafu bado tena mnataka kutupiga kwenye mshono sasq mpanzu wanini mnapenda sifa nyie mbwa.

Mwaka huu mtatuua kwa presha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…