Tetesi: Elie Mpanzu kutua Yanga kabla ya Weekend hii

Tetesi: Elie Mpanzu kutua Yanga kabla ya Weekend hii

H
Musonda mkataba wake unaisha Dec kwahiyo Uto wakitaka, hawawezi kushindwa kuvunja mkataba uliobaki miezi 4, hata kama kwa mkopo kama ilivyo kawaida yao. Hawa Umbwa wapo serious wakati wengine tumebaki na porojo tu!
Hapana ninyi umbwa Makolokolo ndiyo mupo serious, huoni usajili wa bonge la striker toka Mamelodi Sundowns 2024 kimya kimya?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 we jamaaa! Acha utani bhana,

Unajua nimeumia mbavu chief kwa kucheka eeeh!- 🤣🤣🤣😅😅🤣🤣

Sikubali aisee

Itabidi unilpe, siwezi umia kiasi hiki mkuu, nilipe tafadhari, tuma malipo kwa no hii, 0626.... jina mpella

Mkuu sikubali aisee 🤣🤣🤣🤣🤣
Muamala tayari, 10000 wakala makaveli
🤣😂
 
Hivi nyie yanga mnataka nini jamani yani mmetoka kutupiga halafu bado tena mnataka kutupiga kwenye mshono sasq mpanzu wanini mnapenda sifa nyie mbwa.

Mwaka huu mtatuua kwa presha
 
Back
Top Bottom