Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
mizigo ya kiafrika 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mizigo ya kiafrika 😂
Shukrani sana Mkuu hii imekuwa ni Water saving tip, nimeshaanza kuwaambia na raia😂😂😂
Tatepa tanzania tea packersUmenikumbusha mbali sana kaka Mshana Jr. Kuna jamaa yetu fulani ameenda kuchumbia bhana, wamefika taratibu zote zikakamilika basi ukafika wakati wa diko...sasa nisijue ikawaje maake yule Bwana amekula vijiko kama vitano na finyango chache za nyama, saa ngapi tumbo si likaanza kusokota asee!! Hivi na vile jamaa katoka nje kimyakimya kaenda uwani...Kwa speed ya tumbo hakukagua maji kama yapo bombani ama kwa hiyo flasher...jamaa kafika kamwaga zigo la uharo kama lote...alipopata afueni sasa si akataka kuchamba na kuflash, kasheshe likaanzia hapo alafu mind, ni ukweni hapo na Binti hakuwa around....you know hakukuwa na maji kwenye flasher, hakukuwa na toilet paper wala maji kwenye ndoo au bombani....ghaiiii sitasau hiyo aibu ya mwaka......
Mungu wangu😂😂😂 ikawaje sasa!?Umenikumbusha mbali sana kaka Mshana Jr. Kuna jamaa yetu fulani ameenda kuchumbia bhana, wamefika taratibu zote zikakamilika basi ukafika wakati wa diko...sasa nisijue ikawaje maake yule Bwana amekula vijiko kama vitano na finyango chache za nyama, saa ngapi tumbo si likaanza kusokota asee!! Hivi na vile jamaa katoka nje kimyakimya kaenda uwani...Kwa speed ya tumbo hakukagua maji kama yapo bombani ama kwa hiyo flasher...jamaa kafika kamwaga zigo la uharo kama lote...alipopata afueni sasa si akataka kuchamba na kuflash, kasheshe likaanzia hapo alafu mind, ni ukweni hapo na Binti hakuwa around....you know hakukuwa na maji kwenye flasher, hakukuwa na toilet paper wala maji kwenye ndoo au bombani....ghaiiii sitasau hiyo aibu ya mwaka......