Kama lengo ni kuwafaulisha na then mnawazuia kuingia shule kwa sababu hawajatoa PESA si inakuwa ni ujinga.Nilifikiri kwamba wana akili.Huyo Mkuu wa shule anapaswa kutumbuliwa iwapo kweli anawarudisha wanafunzi nyumbani kwa sababu ya TZS 10,000.IDIOT.Kwa kawaida utaratibu ni mzazi anaitwa shule na sio mwanafunzi anarudishwa nyumbani.Sijui hii desturi imekaajeAcha wachangie, ili watoto wao wasome vizuri.....bila shaka wamekubaliana kwenye vikao vya wazazi.......angalia wanaosoma bure na wanaolipia nani wanafaulu sana?
Unafhani headmaster pekee ndiye kaamua? Kama unamtoto hapo, vikao vya wazazi huwa unaenda? Duniani hapa hakuna cha bure tusidanganyane ukitaka kitu bora lazima ugharamie.....endeleeni kucheka na wanasiasa, watoto wao wenyewe hawasomi humo,elf 10 tu makelele kibaoKama lengo ni kuwafaulisha na then mnawazuia kuingia shule kwa sababu hawajatoa PESA si inakuwa ni ujinga.Nilifikiri kwamba wana akili.Huyo Mkuu wa shule anapaswa kutumbuliwa iwapo kweli anawarudisha wanafunzi nyumbani kwa sababu ya TZS 10,000.IDIOT.Kwa kawaida utaratibu ni mzazi anaitwa shule na sio mwanafunzi anarudishwa nyumbani.Sijui hii desturi imekaaje
Kama lengo ni kuwafaulisha na then mnawazuia kuingia shule kwa sababu hawajatoa PESA si inakuwa ni ujinga.Nilifikiri kwamba wana akili.Huyo Mkuu wa shule anapaswa kutumbuliwa iwapo kweli anawarudisha wanafunzi nyumbani kwa sababu ya TZS 10,000.IDIOT.Kwa kawaida utaratibu ni mzazi anaitwa shule na sio mwanafunzi anarudishwa nyumbani.Sijui hii desturi imekaaje
Hapana.Hatuwezitoa elimu kwa mazingira na utaratibu huu alafu tutarajie kufanikiwaDar kuna wazazi waswahili sana . Acha wasurubiwe tu
ndio waache porojo za kisiasa kujilamba kuwa ccm inatoa elimu bure wakati elimu ya kulipiaAcha wachangie, ili watoto wao wasome vizuri.....bila shaka wamekubaliana kwenye vikao vya wazazi
Unafhani headmaster pekee ndiye kaamua? Kama unamtoto hapo, vikao vya wazazi huwa unaenda? Duniani hapa hakuna cha bure tusidanganyane ukitaka kitu bora lazima ugharamie.....endeleeni kucheka na wanasiasa, watoto wao wenyewe hawasomi humo,elf 10 tu makelele kibao
Mku swala sio 10k swala ni kumfukuza mwanafunzi shule kisa 10k.Haina maana yoyte.Nafikiri jukumu la kufuatilia ni la mzazi na mwalimu.Mwanafunzi aachwe asome kwa amani.Hutaelewa hili wewe kwa sababu unaweza kuwa unafikiri tofauti na mimi.Acha wachangie, ili watoto wao wasome vizuri.....bila shaka wamekubaliana kwenye vikao vya wazazi
Unafhani headmaster pekee ndiye kaamua? Kama unamtoto hapo, vikao vya wazazi huwa unaenda? Duniani hapa hakuna cha bure tusidanganyane ukitaka kitu bora lazima ugharamie.....endeleeni kucheka na wanasiasa, watoto wao wenyewe hawasomi humo,elf 10 tu makelele kibao
Serikali inachangia tundio waache porojo za kisiasa kujilamba kuwa ccm inatoa elimu bure wakati elimu ya kulipia
Ujinga wa wazazi ndio unafanya mchangishwe mimi kuna shule naijua mkuu wa shule yuko vizuri sana wazazi wanachangia chakula tu hayo mengine ni yaserekali jamaa yangu serekali ilishatoa muongozo kuhusu elimu bure ni kazi yetu wananchi kuifuata au kuichaSalaam wakuu.
Kuna wimbo mmoja unaimbwa sana juu ya elimu bure katika utawala wa awamu ya tano wa Magufuli. Kama ni kweli elimu hiyo inatolewa bure, basi kuna watumishi wanamuhujumu. Shule ya Sekondari Maendeleo, iliyopo Kata ya Wazo wilaya ya Kinondoni inawatoza wazazi na kuwazuia wanafunzi ambao wazazi wao hawajalipa kuingia darasani.
Walimu wanatumia kigezo cha kutaka matokeo mazuri ya mitihani ya kidato cha pili na nne kwa kuwachangisha fedha hizo kwa kisingizio ya mitihani ya majaribio.
Pia wazazi wametakiwa kutoa shilingi elfu kumi kila mmoja ili shule inunue printa. Sasa cha kujiuliza, kama elimu bure imekuwa mzigo kwa Serikali, kwa nini haisemi hadharani watu tujue? Na hii ni shule iliyopo Dar, sijui zile za pembezoni hali ikoje, hii elimu bure ni kiinimacho na kutaka sifa kwa hii Serikali?
Kwamtazamo huo nimekuelewa na kumfukuza mtoto si sawa japo ni mbinu ya kumshitua mzaziMku swala sio 10k swala ni kumfukuza mwanafunzi shule kisa 10k.Haina maana yoyte.Nafikiri jukumu la kufuatilia ni la mzazi na mwalimu.Mwanafunzi aachwe asome kwa amani.Hutaelewa hili wewe kwa sababu unaweza kuwa unafikiri tofauti na mimi.