KERO Elimu Bure ni nini? Je, ni sawa wazazi kuendelea kuchangishwa pesa za chakula, mpishi, usafi na mitihani ya kujipima?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wachange tu kuwalisha watoto wao,mbona majumbani wanawalisha tu
 
Wazazi wangejua wangekataa elimu bure.

Kwa maoni ya wengi... ada ingerejeshwa haraka sana.

Serikali na wazazi wamuombe radhi mwl kwa kumdhania anaposhika pesa anania ya kuifokoa...la Hassan walimu hutpa pesa mfukoni kuwasaidia watoto wenu.


Kuna mattukio mengi watoto kulegea na kuanguka lkn baadae akipewa chakula anaamka..wazaz muone aibu.. pesa ya kununua chakula mtoto aliyezimia anatoa mwl. Hemvu kuwen na heshima na mwl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…