OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ulitaka serikali ikulishie mpaka wanao? Hopeless kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazazi wangejua wangekataa elimu bure.Ili swala lipo kisasa mno...Kwani watoto wa wao wanakwambia Elimu ni Bure wapo private wanalipa Ada kubwa mno... Kwa mwaka unakuta mtoto analipa 1.8 millioni alafu mtoto wa mpiga kura yupo anasomea shule za Elimu Bure...na mzazi akiamia achangie mchango kidgo wa Chakula, Remidial ....in return mtoto wa shule hiyo ya kata au hizo shule za Elimu Bure anamaliza miaka yake 7 au 4 na matokeo ya ya Daraja F...alafu hao waliokuwa wanalalamikia michango wanaanza kulaumu serikali .
Hivyo Elimu Bure inatengeneza kizazi tawaliwa na kizazi tawala( PRIVATE SCHOOLS).
Hivi tuongee ukweli Kuna mtoto wa Mbunge au mtoto wa makuu ya Mashirika anasomea hizi shule za Elimu Bure?