ELIMU BURE

ELIMU BURE

Khaaa 😳
kijana umekula leo?

Oh My God Omg GIF.gif
 
Mh! kwanza ilikuwa inatakiwa na afya wafanye bure tu!
 
Mkuu una jua usi waze kwa kufikiria nafsi yako tu, Kuna watu hata hela ya Panadol Ina washinda sembuse ada ndo wataweza?

hiyo elimu bure ime fanya hata wasio kuwa na uwezo, na wao wapeleke watoto shuleni.
 
Back
Top Bottom