G Gwamanga JF-Expert Member Joined Jun 25, 2021 Posts 223 Reaction score 434 Feb 26, 2025 #1 Kwanini serikali isifute sera ya Elimu bure ili iweze kupunguza gap la kugharamia elimu nchini??
Mshangazi dot com JF-Expert Member Joined Nov 19, 2011 Posts 1,345 Reaction score 3,503 Feb 26, 2025 #2 Khaaa 😳 kijana umekula leo?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Feb 26, 2025 #3 Mh! kwanza ilikuwa inatakiwa na afya wafanye bure tu!
Shing Yui JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 15,168 Reaction score 38,049 Feb 26, 2025 #4 Elimu sio bure hapa nchini
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 31,913 Reaction score 65,514 Feb 26, 2025 #5 Mkuu una jua usi waze kwa kufikiria nafsi yako tu, Kuna watu hata hela ya Panadol Ina washinda sembuse ada ndo wataweza? hiyo elimu bure ime fanya hata wasio kuwa na uwezo, na wao wapeleke watoto shuleni.
Mkuu una jua usi waze kwa kufikiria nafsi yako tu, Kuna watu hata hela ya Panadol Ina washinda sembuse ada ndo wataweza? hiyo elimu bure ime fanya hata wasio kuwa na uwezo, na wao wapeleke watoto shuleni.
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 31,913 Reaction score 65,514 Feb 26, 2025 #6 Mkuu tembea uone, Kuna watu hawana hata uwezo wa kununua yeboyebo kwa ajili ya kuvaa. mtu mlo 1 kwako ni zaidi ya utajiri.
Mkuu tembea uone, Kuna watu hawana hata uwezo wa kununua yeboyebo kwa ajili ya kuvaa. mtu mlo 1 kwako ni zaidi ya utajiri.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 26, 2025 #7 Inashangaza sana