Elimu gani ni bora zaidi kati ya elimu ya Magharibi na ile ya Uarabuni?

Elimu gani ni bora zaidi kati ya elimu ya Magharibi na ile ya Uarabuni?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Hili swali limekuja baada ya kumuona huyu mwanamama Fatma Karume aliyesoma London School of Economics(LSE) akiposti kwa juhudi kubwa sana posti nyingi nyingi huko twitter kuiweka elimu ya uarabuni katika mizani sawa na elimu ya Magharibi huku akilalamika wanaoujua elimu ya Magharibi kutokujua msahafu wa Kiarabu!
Screenshot_20250408-222257_X.jpg
 
Hili swali limekuja baada ya kumuona huyu mwanamama Fatma Karume aliyesoma London School of Economics(LSE) akiposti kwa juhudi kubwa sana posti nyingi nyingi huko twitter kuiweka elimu ya uarabuni katika mizani sawa na elimu ya Magharibi!
View attachment 3297210
Ijue kwanza haki, utawajua wenye haki ni kina nani.

Na mimi nakwambia wewe hivi, ijue kwanza maana ya elimu kisha ujue ubora wa elimu.

Ukisoma vizuri alicho kiandika huyo mama, ni kuona watu wanafadhilisha elimu ambayo ni ya ziada na kuacha elimu ya lazima na bora kwa watu husika. Hapo amewalenga wale ambao wanajinasibu na Uislamu lakini hawawezi kuusoma Uislamu na bado wanajiona ni wasomi wakati kiuhalisia ni jambo la aibu mno.
 
Hawa watu hawajiaminigi kabisa na dini Yao, kutwa kujilinganisha na kutaka kuonekana wako juu.

NAamini ukinyamaza na tufanye matendo tu ili watu waone wenyewe, sio kutwa kupigania kitu kisichokuwa na uhai
 
Hili swali limekuja baada ya kumuona huyu mwanamama Fatma Karume aliyesoma London School of Economics(LSE) akiposti kwa juhudi kubwa sana posti nyingi nyingi huko twitter kuiweka elimu ya uarabuni katika mizani sawa na elimu ya Magharibi!
View attachment 3297210
Elimu ya magharibi inafaa kusoma MISAHAFU watafundishwa madrasa kwa waislamu.
 
Elimu ya msahafu ndiyo elimu Gani hiyo? Mbona sisi tumesoma biblia na tukasoma elimu Dunia. Arabia aren't going anywhere
 
Kwanza elimu ya magharibi ni ipi na elimu ya uarabuni ni ipi
Maana hapa watachanganya elimu ya dini na ya darasani

Kama serikali itaamua kuajiri kwa elimu ya uarabuni hapo tutasoma tu hata ufanyaje
Ila waarabu wenyewe wanakimbilia magharibi kusoma na ukiona mtu wa magharibi anasoma ya uarabuni jua kuna vitu anataka kujifunza ila ni one in million
 
Nalala na last line

" Elimu ya WEST si Elimu Pekee dunia hii"

Mengine hayo nawaachia wajuvi
 
Jiji la Los Angels maana yake ni malaika waliopotea, alisikika Sheikh katika mawaidha.
 
Kwahiyo wale maprofesa wa pale Iran uprofesa wao ni wa kusoma msahau?

Alafu huyu alivyo mjinga unaweza kura watoto wake mda huu wako wanaishi na kusomea wingeleza

Hapa anawatafuta waislam wajinga kama akina webabu waendelee kubaki masikin daima na atawaokota
 
Sasa warabu wana elimu gani mkuu si bora hata sisi africa
Waarabu kama isingekuwa "ilimu akhera" waliyo ing'ang'ania, wangekuwa mbali zaidi kuliko walipo sasa hivi.
 
Waarabu kama isingekuwa "ilimu akhera" waliyo ing'ang'ania, wangekuwa mbali zaidi kuliko walipo sasa hivi.
Nyinyi msio soma ilimu ya akhera mko wapi?
 
Hili swali limekuja baada ya kumuona huyu mwanamama Fatma Karume aliyesoma London School of Economics(LSE) akiposti kwa juhudi kubwa sana posti nyingi nyingi huko twitter kuiweka elimu ya uarabuni katika mizani sawa na elimu ya Magharibi huku akilalamika wanaoujua elimu ya Magharibi kutokujua msahafu wa Kiarabu!
View attachment 3297210
Uwarabuni hakuna elimu kule ni mabomu tu
 
Waislamu wa kibongo wanashangaza sana sana!
Uislamu siyo kusoma koran halafu usisome elimu dunia au elimu ya shule!
Wachanganye yote kama waarabu wenye dini yao.
Wadai library kila kata badala ya misikiti!
Wasifikiri elimu za shuleni zitamfanya mtoto kuwa kafir!
 
Hili swali limekuja baada ya kumuona huyu mwanamama Fatma Karume aliyesoma London School of Economics(LSE) akiposti kwa juhudi kubwa sana posti nyingi nyingi huko twitter kuiweka elimu ya uarabuni katika mizani sawa na elimu ya Magharibi huku akilalamika wanaoujua elimu ya Magharibi kutokujua msahafu wa Kiarabu!
View attachment 3297210
Elimu ya uarabuni ni nzuri kwani itakuwezesha kupata kazi bandarini na Azam kirahisi.
 
Hawa jamaa wa mnyazi mungu wanatia huruma sasa kusoma korani nayo ni elimu.

Hawaoni mapadri na maaskofu kwanza hakuna padri au askofu kilaza lazima ufaulu vizuri masomo ya darasani ndio usomee upadri.

Acheni wenge nyie mnaosubiliwa mabikra 72 na someni elimu ya magharibi .
 
Back
Top Bottom