Elimu gani ni bora zaidi kati ya elimu ya Magharibi na ile ya Uarabuni?

Elimu gani ni bora zaidi kati ya elimu ya Magharibi na ile ya Uarabuni?

Hawa watu hawajiaminigi kabisa na dini Yao, kutwa kujilinganisha na kutaka kuonekana wako juu.

NAamini ukinyamaza na tufanye matendo tu ili watu waone wenyewe, sio kutwa kupigania kitu kisichokuwa na uhai
Wewe ndie mjinga mkuu sababu haujaelewa post kutokana na akili yako ndogo.

Ukitazama msukumo wa post ya Shangazi kasema wale wanaojua Elimu ya west wanamuona illiterate yule ambaye hajui Elimu hiyo hata kama ana Elimu nyingine na mwisho akahitimisha kuwa Elimu ya West sio Elimu pekee Duniani Je , hapo kosa lake lipo wapi ? at least madai yako yangekuwa na nguvu angesema mtu asiyejua kile ambacho yeye anachokiona Bora ni mjinga.

Mfano wake sawa mtu aseme wale waliosoma Udaktari wanawaona waliosoma uhandisi wajinga kisa hawajui mambo ya udakatari wakati na wao madaktari hawana Elimu ya uhandishi na Kisha kuhitimisha kuwa Udaktari sio Elimu pekee Duniani . Hapo kosa lake lipo wapi si amaetaka watu kuheshimiana Kuna mahali amesema asiyejua uhandishi ni mjinga ?
 
Sasa warabu wana elimu gani mkuu si bora hata sisi africa
Kamba ya kuchunguza hilo jambo ichunguze akili yako kwanza kama ipo sawa.

Waarabu wameingulence civilization ulimwenguni na imetoa Wanasayansi wakubwa tokea kale , na wamechangia pakubwa maendeleo ya Sayansi ulimwengu Kuanzia hesabu mfano Algebra, utabibu , history, Astronomy nk. Na hata kwa sasa Elimu ya Afrika haiifikii Uarabuni.

Msaada mwingine ambao naweza kukupatia ni kukushauri chukua simu yako achana na TikTok kwa muda na kufuatilia mambo ya hovyo nenda kaGugo kususiana Scientific innovation and achieve in Baghdad and Andalusia.

IMG_20250409_062406.jpg



IMG_20250409_062338.jpg
 
Wewe ndie mjinga mkuu sababu haujaelewa post kutokana na akili yako ndogo.

Ukitazama msukumo wa post ya Shangazi kasema wale wanaojua Elimu ya west wanamuona illiterate yule ambaye hajui Elimu hiyo hata kama ana Elimu nyingine na mwisho akahitimisha kuwa Elimu ya West sio Elimu pekee Duniani Je , hapo kosa lake lipo wapi ? at least madai yako yangekuwa na nguvu angesema mtu asiyejua kile ambacho yeye anachokiona Bora ni mjinga.

Mfano wake sawa mtu aseme wale waliosoma Udaktari wanawaona waliosoma uhandisi wajinga kisa hawajui mambo ya udakatari wakati na wao madaktari hawana Elimu ya uhandishi na Kisha kuhitimisha kuwa Udaktari sio Elimu pekee Duniani . Hapo kosa lake lipo wapi si amaetaka watu kuheshimiana Kuna mahali amesema asiyejua uhandishi ni mjinga ?
Nitajie chuo kikuu kimoja cha uarabuni ambacho kuna Watanzania elites wa aina ya Fatma Karume wamewahi kwenda kusoma huko.
 
Elimu IPO Magharibi, Mashariki ya Mbali na Afrika.
Uarabuni hakunaga mambo ya Elimu.

Quran yenyewe imewataka Waarabu wakaifafute Elimu Mpaka China.
 
ELIMU Bora kwa Dunia ya sasa inapatikana china ni Elimu ya kujitegemea hasa hasa sasa usome mambo ya ajabu utayala hayo mambo kumbe wehu ni wehu hata ukiwaficha
 
Back
Top Bottom